Search results

  1. D

    Car4Sale Accidented nissan x trail for sale

    Accidented nissan x trail model 2001 for sale lipo mwanza maeneo ya pamba road....interested PM
  2. D

    Eti huyu ndiye mmiliki wa pap?

    Wana JF picha ya mtu huyu mwenye asili ya kiasia imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii....je ni kweli huyo ndio mmiliki wa PAP....
  3. D

    Anayekaimu nafasi ya urais

    ni muda tangu mh raisi aende kwa matibabu nchini marekani......je anayekaimu nafasi hiyo kwa kipindi hichi mpaka arudi ni nani?
  4. D

    Matumizi ya simu kwenye ndege

    Hivi kwanini ukipanda ndege zetu za hapa bongo huwa wahudumu wa ndege wanakulazimisha kuzima simu......wakati simu nyingi huwa zina flight mode .....
  5. D

    Tanzia: Mmiliki wa Lina's Night Club Bukoba afariki dunia

    Mmiliki wa club maarufu ya disco mjini bukoba iitwayo LINAS NIGHT CLUB amefariki usiku wa kuamkia leo.....chanzo cha kifo chake bado ni utata....
  6. D

    Hawa watu wapo wapi siku hizi?

    Hivi hawa jamaa wako wapi now days Super Deo Compoza, Cris Faby, Peter Panatlaksi, Bob Digadiga, Masud Masud, John dilinga, Bon lov n.k
  7. D

    Tetesi kuhusu meli ya mv Victoria

    Kuna tetesi kuwa meli ya mv Victoria ikiwa inatokea Bukoba kuelekea Mwanza haijafika mpaka sasa hivi. Ratiba ya meli hiyo ni kwamba huwa inatoka Bukoba siku ya Ijumaa saa tatu usiku na inafika Mwanza siku ya Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi ila mpaka sasa hivi ni kwamba haijafika Mwanza tokea...
Back
Top Bottom