Search results

  1. daniel sr. lighton

    ngozi kubabuka,je!?joto laweza sababisha?

    habari yenu. ni matumaini yangu wote tu wazima.ningependa kuuliza je mtu kubabuka ngozi sehemu kama shingoni kuna uwezekano joto likawa ni sababu kubwa endapo mtu huyo amebadili mazingira kwa mara ya kwanza toka sehemu zenye baridi na kwenda kwenye joto?
  2. daniel sr. lighton

    wife!!?husband!!?

    habari yenu wanajamii... ni matumaini yangu wote ni wazima...jambo langu ni moja,,,,tumekua tunaona post mbalimbali za kutafuta wachumba na wanadada wakitafuta waume......sasa kila mtu kma anataka mke au mume kwanini mnaohitaji msiangaliane badala ya kuanza kutafuta upya?!!!!
  3. daniel sr. lighton

    mafuta ya ubuyu!!!!

    habari yenu wapendwa,, ni matumaini yangu mko salama kabisa poleni kwa wale tunaosumbuliwa na maradhi,,, nadhani asili MAFUTA YA UBUYU Ni mafuta ya asali yalifanyiwa utafiti wa kina wa kisayansi na wanasayansi mbalimbali,ni mafuta ya asili yasiyochanganywa na kitu chochote kile.Mafuta...
  4. daniel sr. lighton

    nifanye nini kupunguza mwili na kilo????

    habar wapendwa,,nadhani wote tuu wazima,,ninaomba ushauri wenu nifanye njia gani zisizo na madhara kupunguza mwili na uzito?hasa kupunguza mwili,,naombeni msaaa wenu katika hili,,
  5. daniel sr. lighton

    what should you do to treat someone whom you love but she/he doesnt...

    its just something i wish to seek some advice from you people,,what should someone do when he/she loves but he/she is not loved?it might be something very simple but hard to deal with that kind of person,,,need your replies people.................KUULIZA SI UJINGA
  6. daniel sr. lighton

    natafuta nafasi ya kazi ya kuniingizia kipato

    natafuta nafasi ya kazi kwa muda,,nina elimu ya form four,,
  7. daniel sr. lighton

    mmmmh!mapenzi haya bila umakini na upendo wa kweli changa la macho!

    ni kitu kinaitwa mapenzi,,kilikuwepo toka Enzi hizo lakini wanadamu wa siku hizi tumeyachakachua kiundani zaidi na kuyamodify kwamba yana exist hata kama tayari yalikuwepo kwa mtu mwingine........siku hizi suala la kudanganyana ni kitu cha kawaida,,watu wanaambizana kabisa''ukiona nimekuita dada...
Back
Top Bottom