Search results

  1. Innocentinno

    Msaada wa kuhama faculty

    Kuna rafiki yang kachaguliwa "bachelor of education in commerce&accountancy" pale mzumbe Lkn hajaipenda alikuwa anataka "bachelor of accounting in business sector",kuna uwezekano wa kubadil na akibadil mkopo so anaweza akapunjwa au? .Nawasilisha wana JF.
  2. Innocentinno

    Ubovu wa timu za EPL kwenye UCL ni janga kwa timu yao ya taifa?

    Timu za ligi ya EPL arsenal na man city zilikuwa katika kiwango kibovu kiasi kwamba hawana ushindani wanapokutana na vigogo wa la liga na bundesliga,ndo maana hata kwenye FIFPRO 11 hakuna hata mchezaji mmoja kutoka ligi hiyo kweli wajipange sana kushindana sio kupaki basi,sijui kama kuna timu...
  3. Innocentinno

    Zama za barcelona zinafifia taratibu kwa sababu...................

    Barcelonno  imeonekana imekosa sera mpya ndo maana wanafungwa na Real Madrid ambayo inaelekea kufuta uteja toka kwa mahasimu wao kwani wameonekana wanamtagemea sana lionel messi ambaye akikabwa vilivyo hatambi mfano walivyo fungwa 2-1 jana walikuwa hawana jipya na wanakosa plan B ya...
  4. Innocentinno

    Sishangazwi na matokeo haya ya csee2012

    kwanza kabisa ningependa kuwajulia hali wanajamii wote na tumaini ni wazima,matokeo ya kidato cha nne kama yaliyotangazwa na waziri wa elimu hayakuwa mazuri hicho ndicho vijana wetu walichokivuna wasisingizie wamefelishwa wanaacha kusoma kutwa kukesha kwe wapowanaoingia kwenye mitandao na kuchat...
  5. Innocentinno

    Hellow

    Salamu kwa wote wanajamii
Back
Top Bottom