Search results

  1. Chilisosi

    Heri ya Christmas na mwaka mpya

    Asante sana KC TEAM Na wewe pia
  2. Chilisosi

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Wee dogo huna adabu Yaani hujanitaja na mimi?
  3. Chilisosi

    Msafiri Marwa Kaimu Balozi-Uingereza ni jipu lililotukuka

    Naona watu wameanza kuweweseka kabla ya kutumbuliwa
  4. Chilisosi

    Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    hIVI WEWE NYUMBU, PAMOJA NA MI THREAD YOOOTE UANYOANZISHAGA HUMU, INAKUAJE HATA UKATIBU KATA HUNA?
  5. Chilisosi

    Napendekeza Dr. Slaa apewe uwaziri wa mambo ya ndani ili atimize ndoto yake ya kumaliza ufisadi

    Ndugu zanguni, Kama mjuavyo, hakuna mtu alieshikilia bango ufisadi kwa nguvu zote zaidi ya Dr Slaa. Kwa kua Rais wetu ajae Dr Magufuli kasema anataka mawaziri wachapa kazi kama yeye, basi si vibaya akamvuta Dr Slaa kwenye baraza lake ili aongeze nguvu Dr Slaa ni zaidi ya alivyokua Mrema enzi...
  6. Chilisosi

    Sura za makamanda leo baada ya mikutano ya TINGATINGA Moshi na Arusha jana

    Ndugu zanguni Leo nimebahatika kupata muonekano wa makamanda wetu wa ukawa
  7. Chilisosi

    Mbunge mstaafu Lema Salaam, Zile picha za ambulance ulizifikisha Arusha?

    Tukumbushane tu, kama hizi picha uliisha wakabidhi wananchi wa Arusha ...
  8. Chilisosi

    Ikiwa Wameondoka hawa CHADEMA, wewe nani mpaka Mbowe akuone wa maana?

    Mimi ni mzazi wako, najuta kuzaa nyumbu
  9. Chilisosi

    Ikiwa Wameondoka hawa CHADEMA, wewe nani mpaka Mbowe akuone wa maana?

    Kaondoka Chris Lukosi - Mwenyekiti Chadema UK Kaondoka Zitto - Naibu Katibu Mkuu Chadema. Kaondoka Dr Dr. Wilbroad Slaa - Katibu Mkuu Chadema. Kaondoka Said Arfi - Makamu Mwenyekiti Chadema Kaondoka Prof Kitila Mkumbo Kaondoka Mzee Wasira Na wengine weeengi walioshika nafasi za juu ndani ya...
  10. Chilisosi

    UPINZANI na CCM sote ni ndugu, tatizo ni Lowassa, Mbowe na vibara wao, TUWAKATE!

    Ndugu zanguni Siku hizi kumekua na chuki zikienezwa kati ya wanachama wa CCM na wale wa upinzani/ukawa. Hili sio jambo jema na ni lazima tulikemee Tanzania ni nchi yetu na sisi sote ni ya kwetu, tusikubali kutumiwa na hawa mafisadi wanaotaka kuchukua dola ili wajitajirishe wao na familia zao...
  11. Chilisosi

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    Wao wanazunguka dar tu Sijui kwa sababu kuna vyoo vingi?
  12. Chilisosi

    Watanzania tusikubali wapigaji wachukue gesi yetu na mafuta kwa mgongo wa Lowassa

    Ndugu zanguni Nimefuatilia kwa karibu sana watu walioko nyuma ya Lowassa na nimegundua kua wote wako kimaslahi tu, hakuna mwenye mapenzi na nchi yetu hata kidogo Tusikubali watu waje kugawana vitalu vya ges na mafuta yetu kama njugu. Hawa watu ni hatari kuliko ebola Tushtuke watanzania...
Back
Top Bottom