Search results

  1. ludoking

    Jamaa pumba kabisa!

    Duh, hiyo kali
  2. ludoking

    Maamuzi Magumu ya Magufuli Yatakavyojenga Heshima Mtaani na kuathiri Uchumi

    Imeathiri uchumi wa wachache walio zoea kujipatia vya bure bila jasho na kuimarisha uchumi wa wengi
  3. ludoking

    Maamuzi Magumu ya Magufuli Yatakavyojenga Heshima Mtaani na kuathiri Uchumi

    1) Vigogo.....hawawezi tena kuhonga magari, Nyumba na kusomesha vibinti vya chuo kwa sababu posho marupurupu na safari hamna. 2) Wafanyakazi wa kati......hawatabadilisha vigari wala kuhonga Samsung au iPhone kwa vibinti vya chuo kwa sababu hakuna madokezo na wanalazimika kujibana kamshahara...
  4. ludoking

    Huu Ugomvi Tusiuingilie, Hautuhusu

    A CONDOM said to PAD, Mshenzi wewe!!!! every month you stop my business for about a week. PAD replied Wewe ndiyo mshenzi mkubwa!!!!!if you make one mistake I will lose my job for 9 months
  5. ludoking

    Tofauti ya Ukopaji kati ya Mzungu na Mswahili.

    Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday. Mswahili: Kaka vipi, shwari? Dah hatuonani mzee, vipi mishe, mnatunyima nini, juzi nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, siye tupo bwana, shida tu, halafu misiba mingi tu,wife nae kajifungua ghafla, sasa kuna cheque naisubiri...
  6. ludoking

    Sababu ya CHADEMA Kulazimisha Marehemu Mawazo Aagwe Viwanja vya Furahisha

    Mbona wa kwenu mnawazungusha viwanja mbalimbali na mnatoa hotuba hata ambazo hazihusiani na msiba????? Wivu wa Kike
  7. ludoking

    Reasons Not To Drink Energy Drinks

    Energy Drinks Contain Ingredient Extracted From Bull Urine And Semen. A study done by Longhorn Cattle Company, tested some of the top energy drink brands such as Red Bull, monster etc. What they found might leave your stomach in a knot. They found that the drinks do, in fact, contain bull semen...
  8. ludoking

    Mambo 30 Yanayokuonyesha Kuwa Umri Umeshaanza Kukutupa Mkono!!!!!!

    1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi 2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani 3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi kuliko pombe 4. Muziki unaoupenda unausikia ukiwa kwenye lifti ama kwenye gari lako ukienda na kutoka...
  9. ludoking

    Mmh, Kwa Mtaji huu...I am Finished

    No english dictionary has been able to explain the difference between the two words,"complete and finished". Some people say there is no difference between complete and finished, but there is: when you marry the right woman, you are complete, and when you marry the wrong woman, you are...
  10. ludoking

    Umdhaniaye Ndiye Kumbe Siye....

    Katika kusherehekea miaka 10 ya ndoa yao, Salma aliamua kumpeleka mumewe John kwenye 'strip' club mpya iliyofunguliwa miezi mitatu tu iliyopita. Sababu kubwa iliyomfanya aamue kumpeleka mumewe kwenye club hiyo iliyojaa machangudoa, ni ushawishi wa marafiki zake wa kazini ambao (wote watatu)...
  11. ludoking

    Kufanya Mapenzi Chini ya Ulinzi wa Daktari......

    Watu wawili, mwanamke na mwanamme walikwenda kwa daktari mtaalamu wa mambo ya uzazi. Daktari akawauliza, "Ninaweza kuwasaidia nini?" Mwanaume akamwambia, "Tafadhali daktari unaweza kututazama tukifanya mapenzi ili uweze kufahamu tatizo letu?" Daktari akashangaa. Hata hivyo akakubali...
  12. ludoking

    Kati ya watoto 9 kwa Mkeo, hakuna mtoto wako halali ila halali ni 1 toka kwa hawara

    Kulikuwa na mashindano kwa familia zenye watoto kumi (10), mshindi alitakiwa apate zawadi ya sh million moja. Jamaa mmoja alikuwa na watoto 9 nyumbani akamwambia mkewe,samahani mke wangu nilifanya kosa kuzaa nje ya ndoa subiri nikamlete huyo mtoto niliyezaa nje ili watimie 10 tushinde hii...
  13. ludoking

    Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

    Hizo posho ni stahiki yao, hazilipwi na CCM. Watafanya kama walivyofanya kwa Kikwete. Wataondoka bungeni kwenye bunge litakalohutubiwa na JPM
  14. ludoking

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Dada hakupiga kampeni, ila tunafuatilia utetezi wake wa kusema alijitoa. Jimbo linarudi kwetu ndiyo maana Mtatiro katulia
  15. ludoking

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Yatima hadeki 2.Utamu wa chips mimba 3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni 4. Usiyempenda kaja 5. Kobe hapimwi joto 6. Acha kazi uone kaz kupata kaz 7. Ukichezea koki utalowa 8. Heshima pesa kipara kovu tu! 9. Mtumbwi hauna saitmira. 9. Silaha pesa bastola mzigo 10. Hata uoge...
  16. ludoking

    Importance of the Period (MP)

    Teacher asked! You know the importance of the period? Kid said!Yeah , once my sister said she missed one!, my mum fainted, Dad got heart attack and our driver disappeared
  17. ludoking

    Nimejaribu zote zimewaka!!!!!

    Mama: Umeleta kiberiti? Mtoto: Ndiyo mama Mama: Ni kizima? Mtoto: Ndiyo, kwani nimejaribu njiti zote zimewaka!
  18. ludoking

    Nitapigisha Mtaa Mzima!!!!!

    Kuna wanandoa walikubaliana kuwa, wakiwa pamoja na watoto au watu wengine, na wakataka kwenda kupeana ULODA chumbani waseme wanataka kwenda KUPIGA SIMU Basi siku moja baba akawa na hamu akamtuma mtoto kwa mama yake kwamba kamwambie mama yako nataka kupiga simu. Yule mtoto akaenda hadi kwa mama...
Back
Top Bottom