Search results

  1. Jonathan Manase

    IMEVIMBAA toka juzi

    Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,, Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini, Daktari : Hebu vua nguo tuone, Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke. Daktari : usijari mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa. jamaa akavua suruali kuonesha...
  2. Jonathan Manase

    Naomba mnitajie neno na kiswahili linaloishia na FO lisiwe kifo wala fofofo...?

    Naomba mnitajie neno na kiswahili linaloishia na FO lisiwe kifo wala fofofo...?
  3. Jonathan Manase

    Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4

    Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4.. Akimwambia Mzungu Ugumu Wa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sababu Haujanyooka Moja Kwa Moja: SIR,TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ IS NOT SNAKE ONE BY ONE..√
  4. Jonathan Manase

    Kiingereza safi cha mwanafunzi wa kidato cha nne

    Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4.. Akimwambia Mzungu Ugumu Wa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sababu Haujanyooka Moja Kwa Moja: SIR,TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ IS NOT SNAKE ONE BY ONE..√
  5. Jonathan Manase

    Ma pastor watatu..

    MAPASTOR watatu walikutana wakaelezana shida zao ili waombeane PASTOR wa kwanza: mimi tatizo langukila nikitoka kwenye ibada lazma niibe sadaka za waumini naomba niombeeni niache. PASTOR wa pili: mm tatizi langu napenda sana wanawake kila mtu napenda nilale nae nimeshalala na wanakwaya...
  6. Jonathan Manase

    Mke wa mtu ananitaka nifanyaje..?

    Mimi ni kijana mwenye umri fulani tatizo linalo nisumbua ni kwamba sehemu tunapoishi kuna jamaa ameamia yeye pamoja na mke wake. Wakati wanaamia sehemu ambayo mimi naishi mara ya kwanza huyo mwanamke nilijua anakaa na kaka yake kutokana na jamaa kuonekana kuwa mkubwa kiumri kushinda huyo...
Back
Top Bottom