Search results

  1. N

    Ukaguzi unaofanywa airport wa mizigo uende sambamba na tabia ya abiria

    Nalazimika kusema hayo baada ya hali ya isiyo tulivu kutokea katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo asubuhi majira ya saa 2 asubuhi. Abiria mmoja aligeuka kero wala sio kituko kwa sauti ya juu kuzidi hata ile ya matangazo ya airport, kutumia muda wote wa kupiga kampeni za Urais pale aiport. Kama...
  2. N

    Open University acheni kufanya watu wajinga

    Hii ni maalum kwa Mwl wa OAF 112: Management Mathematics and Statistics. Kwanza yeye mwenyewe au pamoja na moderator wa maswali km yupo hawako makini na wanachotunga. Hali inayoleta wasiwasi km hata usahihishaji uko sawasawa. Sio kwamba hesabu ni tatizo la kitaifa, nakataa mbona vyuo vingine...
  3. N

    Nini sababu ya mshono wa upasuaji kuwasha?

    Nilifanyiwa upasuaji miaka miwili iliyopita, nimekuwa nikipata hali ya kuwashwa mshono nyakati fulani fulani, ikiambatana na maumivu kiasi. Je, hii husababishwa na nini na kuna tiba yoyote?
  4. N

    Sakata la maiti na NHIF

    Nimeangalia taarifa ya habari leo saa mbili ucku. Nimestushwa na kilichotokea. Ni kwamba marehemu alikuwa anatumia kadi ya mtu mwingine ambae ni member wa nhif. Mtumishi wa nhif anaongea tena kwa jazba kuwa maiti haitatoka hadi mwenye kadi atokee. Hv ana akili timamu? Nyie nhif ni daladala...
  5. N

    nini chanzo cha pre mature membrane rapture

    mi .naomba nisaidiwe nini chanZo cha premature membrane rapture kwa wajawazito?
  6. N

    nini sababu ya mtoto mdogo kila anapotaka kucheua analia?

    Nina mtoto wa umri wa miezi minne, kila anaponyonya namlaza began kujaribu kutoa gesi, lakini pamoja na hayo yote ni mara chache sana kucheua bila kulia. Naomba msaada tatizo ni nini? Na nini tiba yake
Back
Top Bottom