Search results

  1. josmic

    Nauza nazi kutoka Kilwa. Ni kubwa na zilizokomaa vizurii

    Nazi nzuri,kubwa zilizokomaa nazi moja ni sh elfu 1,nafanya delivery kuanzia nazi 10 around city centre bure..usisumbuke kutafta nazi watu wa dar nipo kwa ajili yenu,wateja wa jumla pia karibuni saaanaaaa 0718849991
  2. josmic

    Nauza nazi kutoka Kilwa

    Nazi nzuri,kubwa zilizokomaa nazi moja ni sh elfu 1,nafanya delivery kuanzia nazi 10 around city centre bure..usisumbuke kutafta nazi watu wa dar nipo kwa ajili yenu,wateja wa jumla pia karibuni saaanaaaa 0718849991
  3. josmic

    Natafuta soko la kuuza kuku chotara na mayai yake

    Natafuta soko la kuku chotara na mayai yake..napatikana tabata kinyerezi kuku ni wakubwa nauza elfu 15,mayai yake tray elfu 10 ni kama ya kienyeji mawasiliano ni 0718849991 kwa atakaehitaji
  4. josmic

    Nauza maziwa halisi ya ng'ombe,mayai ya kienyeji na kuku

    Kuku wakubwa elfu 15 wa kienyeji Mayai tray elfu 13 Karibuni sana wakazi wa dar es salaam kuweka oda
  5. josmic

    Tunahitaji freelancer

    habari we are mac insurance agency.. tunatafuta freelancer kwa ajili ya kutuletea biashara za bima ya magari location: sinza mori malipo ni kwa commision ila pia kila mwsho wa mwezi utapewa nauli sh elfu 50 kwa anaehitaji contact us on 0767 120222 au info@macinsurance.com
  6. josmic

    Tunahitaji sales freelancer

    we are mac insurance agency servicing agent for NIC tunahitaji freelancer wa kufanya nao kazi tutakua tunalipa 5% ya kila biashara ya motor insurance utakayotuletea sisi tunalipwa 10% na NIC so lets share the commision kwa maelezo zaidi tupigie 0767120222 au email us at info@macinsurance.co.tz
  7. josmic

    Natafuta freelancers

    habari wadau ni hvi nipo katika insurance agency MAC INSURANCE ambayo ndo imaeanza kuoperate kma miez miwil imepita kwa sasa ni servicing agent wa NIC bdo tunaendlea kufanya mchakato kufanya kazi na makampuni mengine hvyo basi tunatafuta watu ambao wanaweza kutuletea biashara za bima ambapo...
  8. josmic

    Natafuta kazi

    Natafuta kazi, nina degree ya Mass Communication, nina experience kidogo kwenye sales, na pia nina experience ya miaka miwili as receptionist nahitaji msaada wenu. Asanteni
Back
Top Bottom