Search results

  1. Jeska

    Vivutio vya utalii Tanzania na faida za utalii wa ndani

    Maoni yangu vyuo vinavyojiita vya utalii vilivyoko vichochoroni vihakikiwe kwani hivi ndivyo vinavyozalisha vibarua badala ya kutoa taaluma stahiki inayoendana na ukuaji wa sekta ya utalii. Hivi sasa kuna utititri wa vyuo ambavyo hata mitaala yao ni ya hovyo na vifaa vya kufundishia hawana...
  2. Jeska

    Mwanamke kidole na macho, kama unaweza kamtie kamba umzuie!

    Hata miye Zinduna nikikutana na bahati hiyo wala sirembi nakwambia mbele kwa mbele, nahakikisha namtia kamba na simuachii nafasi mafisadi wanipore
  3. Jeska

    Serena Hoteli yakabidhi misaada ya vyandarua kwa waathirika wa vita huko Darfur

    Kaizer niko pale pale uliponiacha Kebys kwenye JF Party
  4. Jeska

    Serena Hoteli yakabidhi misaada ya vyandarua kwa waathirika wa vita huko Darfur

    Dina, Serena wanasaidia sana kuanzia watoto yatima hapa nyumbani mpaka maafa kama vile mabomu ya Gongo la Mboto, Ghorofa lililoanguka hapo katikati ya jiji nk
  5. Jeska

    Serena Hoteli yakabidhi misaada ya vyandarua kwa waathirika wa vita huko Darfur

    Wiki ijayo wataoa misaada kwa waathirika wa mafuriko jijini Dar
  6. Jeska

    Serena Hoteli yakabidhi misaada ya vyandarua kwa waathirika wa vita huko Darfur

    Mimi sijamtaja na wala simjui akija mwenyewe hapa Mzee Mtambuzi patachimbika, shauri zenu, mimi nime copy to na ku pest Mimi simo
  7. Jeska

    Kabanga hii aina ya mbwa umeipata wapi?na mimi naitaka.

    Huyo atakuwa ni mbwa wa chopeko
  8. Jeska

    Serena Hoteli yakabidhi misaada ya vyandarua kwa waathirika wa vita huko Darfur

    Heri mimi sijasema charminglady.......... Copy to: Paloma, Kaizer, Asprin, miss chagga, miss neddy, Heaven on Earth, Zinduna, Nicas Mtei, Arushaone, Filipo, LiverpoolFC, marejesho, Preta, KOKUTONA, Ruttashobolwa, Dark City, farkhina
  9. Jeska

    Serena Hoteli yakabidhi misaada ya vyandarua kwa waathirika wa vita huko Darfur

    Hujaelewa misaada iliyotolewa ni kwa ajili ya waathirika wa vita Darfur na si kwa Tanzania
  10. Jeska

    Serena Hoteli yakabidhi misaada ya vyandarua kwa waathirika wa vita huko Darfur

    Hoteli ya Dar salaam Serena mwanzoni mwa wiki iliyopita ilitoa misaada ya vyandarua na maji ya kunywa kupitia Jeshi la Wananchi makao makuu Ngome Upanga kwa waathirika wa vita huko Darfur ambapo misaada hiyo itatolewa na jeshi letu la kulinda amani huko Darfur wakati wa kusherehekea sikukuu ya...
  11. Jeska

    Je nani anamkumbuka huyu mrembo?

    Mama Mdogo umepata, halafu kumbe nilikosea nilikuwa namaanisha hiyo filamu ya Coming to America kumbe ilichezwa mwaka 1988 na si miaka ya 1990
  12. Jeska

    Mh! Mbona niliwahi kusikia kwamba huyu jamaa alikuwa shoga?

    Kwani wewe unataka kufanya nini?
  13. Jeska

    Mh! Mbona niliwahi kusikia kwamba huyu jamaa alikuwa shoga?

    Marvin Gaye and Anna Gordy Speaking of the Gordys, in an interesting example of cougarism in black history, Marvin Gaye was married to Berry Gordy's older sister Anna Gordy when she was 42 and Gaye was only 24. They were married for less than ten years after Gaye left her for a much younger...
  14. Jeska

    Je nani anamkumbuka huyu mrembo?

    Alicheza movie maarufu miaka ya mwishoni mwa 1980 iliyojizolea umaarufu duniani kote huko nchini Marekani lakini ikiwa na mahadhi ya kiafrika..
  15. Jeska

    Kimenuka: Pentecostal Pastor Impregnates A Mother And Her Teen Daughter

    *How does one go about asking the Lord for forgiveness for just being trifling? I mean, what words do you actually use? After allegedly impregnating a 45-year-old mother of three and her 14-year-old daughter, Pastor Sam of Pentecostal church is on the run. The Pentecostal Church – which...
  16. Jeska

    Wanaume ni dhaifu kuliko wanawake! Nani anabisha?

    Unauliza au? Jibu si hilo,wewe pigia mstari tu
  17. Jeska

    Wanaume ni dhaifu kuliko wanawake! Nani anabisha?

    Hapo nadhani unamaanisha: "UJUNGA NI BARAKA" Au?
  18. Jeska

    Wanaume ni dhaifu kuliko wanawake! Nani anabisha?

    Nilikuwa nimebanwa na mkoloni wangu. Nawe sikuoni siku hizi au umehamia kule kwenye jukwaa la stress na BAN Jukwaa la Siasa? The Boss
  19. Jeska

    Nauza Rav 4 kwa Sh.9,000,000/=

    Milioni tisa si haba
Back
Top Bottom