Search results

  1. TO2004

    Network ya 5G kwa Vodacom na TIGO

    Inawezekana huja update simu yako,Mimi nilitumia iphone 12 pro max dual line,niliweka Voda na tigo na zote zilikuwa zinasoma 5G nikiwa maeneo ya postal,masaki na mlimani city.Vodacom inasoma 5G maeneo mengi sana ukilinganisha na tigo Hadi mitaa ya tabata unapata 5G kwenye Voda.Nahisi simu yako...
  2. TO2004

    Natafuta kazi ya udereva

    Shida ni kwamba utumishi wanataka cheti Cha basic na yeye Hana kwa mujibu was maelezo yake
  3. TO2004

    Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

    Atakuwa anaongerea coca cola ya tukuyu
  4. TO2004

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Unaelewa maana ya unlimited bundle?
  5. TO2004

    Wireless Home Internet Provider ipi inafaa?

    Hii ya smile ni true unlimited nimetumia Dana,shida no hiyo gharama
  6. TO2004

    Wireless Home Internet Provider ipi inafaa?

    Kama ndivyo Bora kukimbilia smile Wana true unlimited ya 185,000/= unakuwa na router yako unaendanayo popote na unatumia vyovyote utakavyo.Gharama Iko juu kidogo ila ni bora kuliko hio ya voda yakuwa fixed sehemu moja
  7. TO2004

    Msaada: Gari gani linakula mafuta kidogo?

    Kama uko vizuri achana na hao akina jimmy,vuta Toyota Aqua au Prius ni hybrid 1ltr unaenda km 20-35
  8. TO2004

    Wireless Home Internet Provider ipi inafaa?

    Naomba kujua hii router naweza kumove nayo kutoka home kwenda nayo ofisini? Ama Niya sehemu Moja TU kama ni home ni home kama ni ofisini ni ofisini TU.
  9. TO2004

    Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Vijana wanapambania mrija wa asali wa Pura.Mungu awasimamie
  10. TO2004

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Kuna authority ilikuwa inaitwa SSRA sijui iliishia wapi,ilikuwa ina mishahara ya kwenda.
  11. TO2004

    Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Sio changamoto Cha msingi majina hayo yawepo kwenye cheti Cha kuzaliwa
  12. TO2004

    Inawezekana watu kupangiwa kazi Utumishi bila majina yao kuwekwa kwenye website sehemu ya placement, yaani kupangiwa kimya kimya?

    Pole mkuu kama ni kweli basi kutakuwa na changamoto upande wa utumishi huenda wameelemewa ama Kuna sehemu hapako SAWA i.e Kuna bypass somewhere maana juzi nimeona watu wakilala kuhusu tangazo la kuitwa kwenye usaili mzumbe baada ya usaili kufanyika Yani usaili umefanyika 27/08/2022 na tangazo...
  13. TO2004

    Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Kweli hii ni vita ya kupambania mrija was asali
  14. TO2004

    Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Ila wabongo wanakujaga na gear kubwa mwisho wa siku Utasikia yani Mkuu Acha tu kisichi riziki
  15. TO2004

    Supplies Officer II at Agricultural Seed Agency (ASA)

    Kama unasifa omba utakuja nishukuru baadae
  16. TO2004

    Nataka kuachana na ualimu haraka. Nikimbilie wapi?

    Nina uhakika ulichokiandika hukijui, kuna watu wanafurahia maisha na wapo serikalini. Trust me.
  17. TO2004

    Nataka kuachana na ualimu haraka. Nikimbilie wapi?

    Sio rahisi kihivyo ndugu, kumbuka unaosha gari Kwa kutumia maji na sabuni.
  18. TO2004

    Anataka kununua gari iliyo juu kwa bajeti ya Milioni 15

    Kupitishwa kwenye international standard sio kigezo Cha kuwa gari Bora kwa mazingira ya Tanzania
Back
Top Bottom