Search results

  1. N

    My Speech about JP Magufuli at IVC

    Rest with Angels JPM.
  2. N

    Mh. Mwigulu, Tafadhali Sikia kilio cha kutapeliwa cha hawa Watalii

    Mselezo yanajitosheleza, hatua kali zichikuliwe
  3. N

    *Wadau wa habari "wagongana" kuhusu muswada

    Nakiona kiama cha makanjanja
  4. N

    Muuguzi ammwagia kemikali mzazi

    Ngoja uhakiki wa vyeti ukamilike, wengi wanaofanya matendo ya ovyo katika sekta ya Afya ni vihiyo na wataondoka wakalime.
  5. N

    Nikiona tuu binti kavaa sketi ya shule napata mfadhaiko sana

    Mkuu unafanya booking ya kwenda jela naona.
  6. N

    Edward Lowassa Atembelewa Na Mtoto Ambaye Ni shabiki Wake

    Wanajaza ubongo wa mtoto mambo ambayo in future hayatamssidia maana atasoma katika historia.
  7. N

    Lowassa autathimini mwaka mmoja baada ya uchaguzi

    Ajipe muda, awamu ni miaka 5 na kazi zinaendelea, kwani yeye angetekeleza ahadi zake kwa mwaka mmoja?
  8. N

    Dk 45 ya leo: Prof Mukandala kapata "walkover"!

    Muuliza maswali hakuwa amejiandaa
  9. N

    Hivi kwanini wanawake wa kitanzania huwa hawapendi kula viporo?

    Kwani huna fridge mkuu? Even without chakula kinalika bila tatizo labda mazoea ndio shida.
  10. N

    Manji: Ujenzi uwanja wa mazoezi kuanza ndani ya siku 90 baada ya ridhaa ya wanachama

    Hata Chief Mangungu wa Msowero aligawa alikumbana NA vishawishi kama hivi miaka hiyo. Mbona siku zote hakuwaza kujenga uwanja?
  11. N

    Freeman Mbowe jitokeze kuthibitisha kuwa kampuni yako ya Mbowe Hotels ipo kihalali na inalipa kodi

    Leta habari ndugu Lizaboni tuwajue viongozi wetu wapendwa kwa undani
  12. N

    Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

    Naona dalili za mob justice, kwa kiasi kikubwa tumeshamhukumu scorpion.
  13. N

    Mwalimu Frank Msigwa aomba radhi mtandaoni, nasisitiza Sheria ifuate mkondo wake

    Mwalimu ni mlezi wa wanafunzi, anatakiwa afuate sheria na taratibu za kazi.
  14. N

    Rais Magufuli, Kwa hili la kubana matumizi umeshashindwa!

    Naona mkuu kisu kimefika katika mfupa.
  15. N

    Kwa hili la watafiti kuchomwa moto, Lingeweza kuzuiliwa

    Aliyeleta thread Bonge la mpuuzi.
  16. N

    Kipimo cha utendaji wa jeshi la polisi ni kuvunja rekodi za kukusanya faini?

    Kuna basdhi ya madereva ni wapuuzi mno, hawataki kufuata foleni full ujuaji, faini ya traffic police zitawanyoosha.
  17. N

    CUF sasa dhahiri mambo ni magumu

    Huu mgogoro hauna mshindi bali shida tupu kwa CUF
Back
Top Bottom