Search results

  1. M

    KIWIRA na MCHUCHUMA: A Campaign To Reclaim...

    Sikubaliani na wazo lako kwamba Watanzania watabebeshwa mzigo mkubwa kwa kuchukua mkopo huo kwa ajili ya uzalishaji wa umeme. Kumbuka ni asilimia 35 tu ya Watanzania ndo wanatumia umeme, Kwa hiyo ongezeko la uzalishaji wa umeme sio la muhimu tu bali ni lazima. Please don't call Mr. Mkapa fisadi...
  2. M

    Ufisadi wa Kifo Vipimo vya UKIMWI

    The notation that "Waafrika Hawathamini miili yao na ndoa zao" is not a fact. Kinachokosekana kwa Waafrika kwa ujumla ni elimu ya kutosha juu ukimwi, kumbuka jamii za Kiafrika wazazi hawapo Comfortable to talking about sex with their childrens. Ninaishi Marekani kwa muda wa miaka kumi, kama kuna...
  3. M

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu, sababu kubwa inayoturudisha nyuma ni viongozi wetu waliopewa dhamana ya kuiongoza nchi hii na kuigeuza kama Private company na wao ndio CEO's.
  4. M

    Poor Jornalism IPP

    JK amwaga vigogo sita 2008-08-23 15:43:59 Na Mwandishi Wetu, Jijini Wale vigogo wanaotuhumiwa kuchota mapesa ya umma kwa manufaa yao, waliodhani Rais Jakaya Kikwete atawakingia kifua, sasa wameula wa chuya kwani JK kawanawa kama hawajui vile. Katika kudhihirisha kwamba hivi sasa...
  5. M

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    I don't think this guy is MKABILA, his request for autonomous status for Tarime is solely based on his ideas of empowerment of the local government, In order to excute the development project in mostly effective way. Na hii imetokana na ukiritimba wa hali ya juu from central government, He...
  6. M

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Ni sawa kabisa, afadhali Wilaya za Tanzania ziendeshwe kama majimbo sababu ya bureaucracy, everything central government have to make decision. Go Tarime
Back
Top Bottom