Aombee msamaha kwa lipi? Narudia weww ni mmojawapo unayetumika kama si kutumiwa au unajipigia debe. Wagombea wangapi walipita bila kupingwa?mbona huwasemei nao wajiuzulu?? Unataka kuivuruga Seekali na Chama cha Mapinduzi. Kaa ufanye kazi acha kupiga majungu. Mheshimiwa Rais Mama Samia anaenda...
Kamundu! Bila shaka wewe ni mmojawao unaotumika au kujipigia debe. Be objective not subjective. Unakumbusha mambo yaliyopita ili iweje? Mh.Waziri Mkuu hana kosa gani hapo mgombea kama aliingia mitini? Leta ushahidi sio kutumiwa na wapenda madaraka. Mungu akusaidie uache chuki binafsi
Mwandishi una chuki binafsi na Mheshimiwa Waziri Mkuu na Serikali ya Mh. Samia. Hoja zako zote zimejikita kwenye chuki. Na hii inaonyesha umetumwa kama si kutumika. Serikali ilijitahidi kwa ufuatiliaji na kila mtu aliona . Hicho kitengo cha maafa unajua kazi zake? Na unajua kilianzishwa kwa...
Mkuu, nadhani Dhana nzima ya maendeleo labda haieleweki miongoni mwetu. Hizo taa kama zinatakiwakuwekwa kwenye maendeleo ya sehemu zenye utoshelezi wa sekta za Afya,Elimu n.k. Je sehemu zilizopo mjini zenye taa zimejitosheleza katika nyanja hizo? Hakuna upungufu? Je hizo taa zinahusiana na...
Hawa waandishi wa siku hizi njaa tupu. Inakuwaje mwandishi aandike story tofauti na asichukuliwe hatua na mabods wake wa gazeti? Unapotoshaje kauli ya mmojawapo wa Viongozi wakuu wa nchi wakae kimya? Guardian mna matatizo.
Labda mwandishi naye anatoka Jamie hiyo hiyo iliyoko hifadhini...
Watanzania ifike mahala tuwe na uelewa na tuache unafiki. Mh. Waziri Mkuu hapo amekejeli nini? Dunia ya leo ndo anayoiongelea. Maendeleo yawe sawasawa. Hakuna kusema hiki ni cha mjini au hiki cha kijijini. Binadamu wote ni sawa. Ifike mahali tuunge mkono juhudi z Serikali chini ya Mh...
Huyu Erythrocites ni kiazi kweli kweli. Ana chuki binafsi kama sio katumwa .
Waziri Jafo na Familia yake wanahusikaje na Kanuni za uchaguzi?
Hao wanaokutuma wanapoteza muda . Kumbuka huyo ni Waziri mwenye dhamana tu. Masuala mengine ni ya Serikali.
Umepotea njia kumchafua Waziri Jafo...
Huyu Erythrocites ni kiazi kweli kweli. Ana chuki binafsi kama sio katumwa .
Waziri Jafo na Familia yake wanahusikaje na Kanuni za uchaguzi?
Hao wanaokutuma wanapoteza muda . Kumbuka huyo ni Waziri mwenye dhamana tu. Masuala mengine ni ya Serikali.
Umepotea njia kumchafua Waziri Jafo...
Huyu Erythrocites ni kiazi kweli kweli. Ana chuki binafsi kama sio katumwa .
Waziri Jafo na Familia yake wanahusikaje na Kanuni za uchaguzi?
Hao wanaokutuma wanapoteza muda . Kumbuka huyo ni Waziri mwenye dhamana tu. Masuala mengine ni ya Serikali.
Umepotea njia kumchafua Waziri Jafo...
Dstv ni matapeli siku hizi. Wanatangaza promosheni ya offer yamiezi miwili kwa kuongeza hela ilishalipwa hata hiyo offer hawakupi na huku umelipia hela nyingi zaidi ya kifurushi unachotumia. Ukiwapigia wanazuga wanaishia kusema tunashughulikia halafu wanaingia mitini.wameniboa sana. Halafu...
RC rugimbana, ni muungwana sana anajitambua, amelelewa katika maadili na wazazi wake mnataka akengeuke kwasababu ya maneno yenu. ? Nyie kama hamkulelewa kwa njia sahihi msitake wengine waige tabia zenu za ajabu ajabu. mleta mada hauna point katika hili. Zaidi ya majungu na fitina. RC huyu ana...
Mleta Mada ni mnafiki, Waziri Mkuu siyo mtu wa makundi, na siyo mnafiki kama huyo Mleta mada. anajitambua Waziri Mkuu wetu, na Mheshimiwa Rais Magufuli yuko makini sana. Mleta mada hauna adabu! Unataka kufinitisha tu.
Mleta Mada ni mnafiki, Waziri Mkuu siyo mtu wa makundi, na siyo mnafiki kama huyo Mleta mada. Anajitambua Waziri Mkuu wetu, na Mheshimiwa Rais, ni mtu makini ambaye alifanya uteuzi huu kwa uhakika na kujiamini. Tuache majungu
Mh Rais. Mulika barabara ya Kahama kwenda
Napenda nichukue fursa hii kueleza umuhimu wa barabara ya kuelekea Rusumo, hii barabara ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa,na hasa kwa nchi jirani ya Rwanda ambako inaelekea. Barabara hii kuanzia Bukombe imeharibika sana ni kama mahandaki tu, na...
#1
A moment ago
Napenda nichukue fursa hii kueleza umuhimu wa barabara ya kuelekea Rusumo, hii barabara ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa,na hasa kwa nchi jirani ya Rwanda ambako inaelekea. Barabara hii kuanzia Bukombe imeharibika sana ni kama mahandaki tu, na hivyo kuharibu magari yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.