Search results

  1. B

    Ugonjwa wa kifafa usikilizeni redioni. Simulizi yake ni ya kutishaa!

    Kifafa inatibika hospitali,sio kulogwa. Tatizo la jamii yetu ni imani za ulozi.. Muda mwingi tunatumia kwa waganga wa kienyeji,(kusomewa,kupungwa,kutolewa majini..),matapeli wa imani(manabii na mitume). Tutumie huduma za tiba kisasa
  2. B

    David Kafulila: Rais Samia anajenga 'competitive economy'

    Kama ndugu katibu wa ffc..walio karibu na kafulila wawe makini.. Kuna mkeka unakuja
  3. B

    Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Mufti anamwombea msamaha mbowe kwa SSH, wiki chache nyuma tumemsikia ZZK,Ayatollah, akimwomba SSH amsamehe mbowe... Kuna mahali SSH amechemsha... Wanafanya damage control.
  4. B

    Msimamo wa Mheshimiwa Freeman Mbowe kuhusiana na mambo ya kusamehewa na Rais

    DPP afute kesi.. Ofisi ya DPP iko kwa katiba yetu.
  5. B

    Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

    Ulevi wa madaraka..hana maadili..
  6. B

    Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Refa ameua move ya yanga,,faida ilikuwa upande wao
  7. B

    Huyu kiroboto anayezungumzwa na Nape ni nani?

    Maneno ya kwenye khanga..kiroboto,mhuni. UV-CCM vipi.. Magufuli alikuwa sahihi kuwachukua bavicha
  8. B

    Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Paka anakufa leo..babu onyango atasababisha penalt
  9. B

    Bavicha wafika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi ya Simba na Yanga

    Samia naye anataka katiba ya wananchi... Kuna watu huko CCM wanambania..et asigombee 2025!! Kama mbwai na iwe...mama atatuachia katiba mpya
  10. B

    Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

    Tusihusishe matatizo ya familia,hasa vifo(natural deaths) na kesi hii. Family yote inalia hasa mama mtoto. Hata Mbowe alifiwa na kakake,mama mkwe nk, huwezi kusema ni laana ya sabaya/chacha wangwe...
  11. B

    Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Ukaburu ni itikadi,si rangi ya mtu.. Hata mandela alifungwa kwa ugaidi...
  12. B

    Mbunge Nicodemas Maganga: Mama anacheza peke yake, tunaenda kupigwa

    Unafiki mtupu....wakati JPM ananunua ndege bila kufuata utaratibu..mlikuwa mnashangilia kama mazuzu... Nimemkumbuka 'Bwege'. ...una njaa, ndiyoo...umeshiba,ndiyoo
  13. B

    Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

    pombe kali tupe mrejesho kiongozi. Nafuatilia uzi
  14. B

    What is Psychometric Test na zinafanyika wapi hapa TZ? Radar may be?

    Utapeli mchana kweupe... Watapigwa/wamepigwa wengi
  15. B

    Vodacom pia walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili

    Kwa nini unalazimisha wengine wa kubaliane na wewe?? Simama mwenyewe. Usitufokee
  16. B

    UTI wa mgongo wa wamtesa Sabaya, kesi yake yaahirishwa tena

    ',Yesu njoo,Roho mtakatifu shuka...,kwani Sabaya ni nani..' Nimekumbuka kilio cha mama mzee aliyenyang'anywa shamba na Sabaya huko Hai
  17. B

    Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

    Yule mrembo wa Airtel amekula kona kali,...ilibidi aingie 'period' kabla ya wakati kwa hofu... Naye ni wakili msomi. Nadhani aliona kaka yake wa tiGO alivyopelekeshwa
  18. B

    Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

    Naona raia wameleta shida,wamemleta SSP Madembwe Seba..polisi,kuwa shahidi kwa leo
Back
Top Bottom