Search results

  1. M

    Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

    Da pole sana kama umempata mwenye hofu hiyo,binafsi namwogopa sana mwanamke ambae hata hela ya chumvi anataka mm ndo nimpe.
  2. M

    Wanasheria(Baadhi) mnadhalilisha taaluma ya sheria

    Sijaona hoja yako ya msingi kuwalaum wanasheria hapa. Alichosema ndo anachokiamini na wewe una haki ya kusema unachokiamini kwa nn utake na wengine wakufuate wewe na hapa wewe ndo unamatatizo unafikiri wansheria ndio wanaweza kutoa maamuzi ya mwisho kwa iyo wakitoa mawazo tofauti na wewe basi...
  3. M

    Msaada

    Wapendwa salaam. Naomba msaada wenu,katika hili ruling imetoka,hivi .respondent shall have his costs,order accordingly,nini kinafuata, na documents zipi zinztakiwa ili kupata gharama za kesi yangu? Kila la heri.
  4. M

    Nina mpenzi dini tofauti

    Imani ni mahusiano kati ya mungu na binadamu. Jina uislam na ukristo havina nafasi kabisa kati ya mahusiano yako na mungu,jiulize swali kuna mungu wa wakrsito na mungu wa waislam? Wote twa mwabudu mungu mmoja. Tatizo letu ni kuwaogopa zaidi binadam kuliko mungu.wazazi wananafasi yao mbele ya...
  5. M

    Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba

    Suala ni utendaji wake wa kazi ndo kitu cha muhimu.kwamba baba yake alikuwa balozi au GPA yake ni namna gani si jambo muhimu sana. Kama kusoma kasoma uzoefu anao,tumwombee kwa mungu awe na hofu ya mungu ili utendaji wake usizidishe maumivu kwa watanzania.
  6. M

    Wakaka kueni n huruma

    Tatizo wanawake wengine mnajivunga mno mwambie mwenzio hakuna kukojoa had mm nikwambie na kujiutuma si kukata kiuno tu mpe maneno yenye kuhamasisha mambo yaendelee sasa unakuta binti ndo kakazana kukata kiuno utafikiri mota ye ndo anafikiri anapatia ile inataka kwenda kwa step yaan m na k viende...
  7. M

    Dr. Slaa: Baraza jipya limechoka kabla halijaanza kazi

    There is a saying goes like that " tell me who are your friends and I will know who you are" the cabinet tells ....
  8. M

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    mahamood mgimwa anauzoefu gani tofauti na deo?
  9. M

    Natamani kufanya maamuzi magumu ila naogopa mamangu atanyanyisika sana.

    Oh pole sana,naomba haraka toa msaada TAMWA,au kituo cha sheria na haki za binadam,lakini pia siku hizi vituo vya polisi wameanzisha dawati la jinsia wanasaidia sana.hina haja ya kuogopa hakuna laana wala nn okoa maisha ya mdogo wako.kama unaona hilo litakuchelewesha mtoroshe mapema,hujasema ni...
  10. M

    Marriage for revenge

    Naamini sana kuwa mwanamke anaweza kuubadilisha moyo na maisha ya mwanaume na dunia ikawa mahali pazuri pakuishi. Ni wakati wako sasa kuonesha kuwa inawezekana kusamehe na kusahau maisha yakaendelea.umwoneshe upendo wote na uwajibike kama mke mwema,hakika nafsi itamsuta na hawezi kukufanyia...
  11. M

    Eti ni kweli kampuni ya forever living inahusishwa na Freemason?

    Si kila kitu ni kibaya watanzania tupunguze hofu na uoga.kumbuka uoga wako ndo umasikini wako.
  12. M

    HATARI: Hali ya Usalama Dar si nzuri, Kundi la 'Watoto wa Mbwamwitu' lawa tishio Ilala

    Kuna msemo usemao maneno huumba. Hili jina walilopewa hawa watoto linasadifu tabia zao. Inasikitisha sana mahali nchi hii tulipofikia hizi ni ishara za kukosekana kwa utawala wa sheria na nchi kushindwa kutawalika.kila mtyu anaweza kufanya lolote kwa sababu hana hofu kwamba kuna mtawala mwenye...
  13. M

    Yupi muhimu - Mtoto wa Kike au wa Kiume as first born?

    Kuna wakati mwingine,ni muhimu sana kuwa na hofu ya mungu,kila binadamu mwamke au mwanaume anaumhimu wake na hakuna umhimu unaozidi wa mwingine.
  14. M

    Jamani HABARI ZENU:- NAOMBENI MSAADA WENU KWA HILI!

    Hii ndo ishara tosha kuwa elimu ya bongo haimsaidii mtu kujitegemea katika maisha ya kawaida,huyu kamaliza kidato cha nne bila shaka kafaulu vizuri hadi cheti chake kuuzwa. Kwetu elimu imebaki kufaulu mtihani na hiyo division 5 si itakuwa balaa zaidi? Haya ndugu, au hapa tatizo ni lugha...
  15. M

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Mahakama imetenda kazi yake.sasa ni wakati wa kusubiri ili mwisho wa siku kila mmoja abaki na haki yake kwa wale wanaoamini katika utawala wa sheria,sasa Chadema na zitto kila mmoja amepata haki yake,ili kama baraza kuu litaamua chochote zitto ataridhika kuwa utaratibu umefuatwa.ikumukwe kuwa...
  16. M

    Kesi ya ZZK ina makosa mengi

    hivi mtu kutetea masilah yake ni kosa? Siasa ndo kazi yake na ndo inampa riziki kama alivyo mwalimu daktari au mwanasheria pale unapoona mtu anacheza na masilahi yako ni lazima uoneshe kustuka.tatizo watanzania wengi ni waoga mno na ndo mana, wengi haki zao hupotea na mwisho wa siku utasikia...
  17. M

    Kesi ya ZZK ina makosa mengi

    Hivi Zitto analalamika kujadiliwa asifukuzwe au analalamikia utaratibu na tuhuma dhidi yake kuwa si za kweli,mana nimeona majibu yake kwa katibu mkuu mwenyewe anaita utetezi huku ukipinga(defence underprotest),kwa madai yake ni kwamba tuhuma zote ambazo zimetokana na waraka ulioandaliwa na...
  18. M

    Wachina tena: Wakamatwa na Meno ya Tembo 81 Bandarini Dar es Salaam - Jan 2, 2014!

    Scratich my back I will scratich yours. Kwa haraka haraka unaweza kuona kama wachina wanasaidia sana maendeleo ya tanzania lakini kiukweli wao wananufaika zaidi,na hii ni sehemu ndogo sana inayokamatwa . Kwa waliosoma historia haya ndio yale ya kubadilishana dhahabu na heleni,sasa barabara...
  19. M

    Ohh Tanga hivi..ohh Tanga vile; Nipo Tanga na sijaona lolote

    pole kwa kutengwa na watu Iringa,ingawa kiukweli si watu wa tabia hiyo sijui ulikuwa sehemu gani na ulikutana na watu gani isijekuwa nao wakuja tu.wenye asili yao iringa si watu wa kutenga wenzao,waliishi kwa amani na wapiganaji toka Afrika kusini leo wakutenge wewe mdigo wa tanga . Lazima kuna...
  20. M

    legal languages

    Be serious, this is advanced secondary education examination question,what combination did you take for your advanced level studies?.those who studied english language in advanced level must have come across with such question,any way. Legal language is complex,uses long sentenses,it uses long...
Back
Top Bottom