Search results

  1. K

    Photos and Videos Only: Gaza Strip

    mwanangu nimependa profile picture yako
  2. K

    Top 100 Universities in Africa...Heko UDSM!!!

    wazungu hawaishi kujipendelea, tunaweza kujiuliza kama zuzu aliyesoma UDSM anapata A+ ulaya, je wa first class atapata nini, mwanangu mimi nimefanya degree ya pili ulaya walikuwa wananiona kipanga, na mimi sijaona tofauti yoyote kati ya ada na mba mpaka semester ya mwisho. kwanini elimu...
  3. K

    Tanzania Presidents: Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete

    acheni kumsifu mtu kijinga, yeye ndio wa kwanza kututiya kwenye njaa, alikuwa akiwabadilisha watu toka kampuni hii kwenda kampuni hii baada ya kuuwa moja mtu alipelekwa kwenda kuuwa nyingine. na hii inajulikana kwanini mnaendelea kumsifu, alitufanya watanzania tuishie darasa la saba tujuwe...
  4. K

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    mahesabu unanishangaza kwanini uwatie watu wenye asili ya asia katika mazungumzo yako, hii inanionesha wewe ni mbaguzi wa rangi achilia mbali dini, pia nimegunduwa umezoeya kuona wazungu malaika na yesu mzungu na mtu mweusi ni shetani. funua akili yako vizuri acha chuki za kijinga, mbona husemi...
  5. K

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    mwanangu changamoto mimi napenda watu kama wewe, watu wanaosema ukweli, watu wanaotaka maendeleo kwa wote. kama tutapata viongozi kama wewe nchi yetu itaendelea na hamna atakae muoneya mwenzie wivu. mimi niliandika muda mchache tu kwa nini iran ifananishwe na vatican wakati vatican sio nchi...
  6. K

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    mwanangu samvulachole wengi hawakubali kuwa kuna ukabila, pia hawakubali kuna udini, lakini mwnangu mwenyewe mimi nilibahatika kufika IFM, makabila matatu ndio yanayosoma wahaya, wachaga na wanyakyusa, nisisahau wajita na wasukuma. mimi nishaambiwa kwanini usikae nyumbani ukauza duka kama vile...
  7. K

    Babari kwa Picha:huku ndiko alikotoka Mkapa---Je alipo kwa sasa?

    mpeni mkapa muda,nyinyi nyote mnajuwa nyerere alimpa mkapa maeneo kwa sababu alitaka achote mapesa kama zawadi yake ya kumuandika vizuri katika miaka ya sitini na sabini wakati munaemuita baba wa taifa alipokuwa anaitiya nchi kwenye shimo, nyerere kasomesha watoto wake marekani, watoto wa watu...
Back
Top Bottom