Search results

  1. Andfaru

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dahhh😔
  2. Andfaru

    Nahitaji deki ya Samsung Home Theater

    Wakuu! Nina shida ya deki ya Samsung Home Theater- Watts 1000 iwe na Bluetooth Ofa yangu 150k
  3. Andfaru

    Sifa za kufanya mtihani A-level km mtahiniwa wa kujitegemea

    Inawezekana mkuu, kwa maana ukicheki hapo matokeo ya kwanza na ya pili, inaonekana tayari una credits tatu( yaani ufaulu wa daraja C) na ili mtu aweze kusoma na kujisajili kama private candidate ktk advanced level anapaswa kuwa na ufaulu wa daraja C kwa masomo matatu! kwa ufaulu wako unaweza...
  4. Andfaru

    Mtoto wangu nimpeleke chuo kipi??

    Kwa ufaulu huo kwa nn asiendelee na kidato cha sita kwa mfumo wa kujitegemea!? mana naona ana sifa zote za kuendelea na masomo kama private candidate kwa mwaka mmoja tu, ambapo mwaka kesho anafanya mtihan wa taifa vizuri kabisa! kama utaona hili wazo ni zuri naomba tuwasiliane 0679168264
  5. Andfaru

  6. Andfaru

    Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    pia kama wahitaji msaada zaidi, nicheki 0679 168 264
  7. Andfaru

    Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Anayerudia mtihani hawezi akarudia masomo yote saba au nane ili kuweza kupangiwa division! mara nyingi unakuta anarudia masomo matano kushuka chini sasa ktk mazingira hayo, huwezi kupewa division
  8. Andfaru

    Je inawezekana mtu aliye ishia kidato cha pili na kufaulu kujiunga na QT

    Kisheria hairuhusiwi mtu aliyefaulu kidato cha pili, akatumia matokeo hayo kufanyia mtihani wa QT Iko hivi, ili ufanye mtihan wa QT form four lazima uwe na namba ya mtihani wa QT ulofanya huku ukiwa umefaulu, au uwe na unarudia mtihan wa form four baada ya kuwa umeufanya hapo nyuma...
  9. Andfaru

    Chato, Geita: Rais Magufuli yupo likizo kijijini kwao Lubambagwe

    dahh ila mm sijamuona na kumsikia kwa muda ss Waziri wangu mkuu Majaliwa K. Majaliwa[emoji15]
  10. Andfaru

    Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

    wakuu naombeni msaada kama kuna mtu ana taarifa zozote za kundi la Simba watsap nahitaji kujiunga tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Andfaru

    Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

    Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Andfaru

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Andfaru

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    mapema kbs wameliamsha dude..... [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Andfaru

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    game yenyewe imeisha kwa kupigwa huo msumari mmoja wa makalio[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Andfaru

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Andfaru

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    na ww hongera kwa kuchelewa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom