Search results

  1. kalikumtima jackson

    Lowassa alifuata nini Iringa?

    Mtachonga sana lakini hamtafanikiwa. Mhe. hajaenguliwa na wala hatajiengua!! Tunahitaji Rais ajaye awe mtu wa kujitambua na mwenye agenda siyo hao wa kuchongwa na kusindikizwa sindikizwa. Mhe. Lowasa anatosha sana kuingia ofisi ya Magogoni
  2. kalikumtima jackson

    Uchaguzi Jimbo la Kalenga: Matukio na Matokeo - 16 Machi, 2014

    au mwaweza kusikiliza radio za Iringa kupitia www.radiostationstz.com
  3. kalikumtima jackson

    Uchaguzi Jimbo la Kalenga: Matukio na Matokeo - 16 Machi, 2014

    wanapatikana www.radiostationstz.com
  4. kalikumtima jackson

    Tanzania Top Model kufanyika Jumamosi 7/12/2013

    Shindano la Tanzania Top Model litafanyika kwa mara ya kwanza nchini siku ya Jumamosi 7/12/2013 katika ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere ulioko Jijini Dar es salaam katka barabara ya Shaaban Robert inayoanzia kwenye viwanja vya Gymkhana na kuishia kwenye lango kuu la Ikulu ya Dar es salaam...
  5. kalikumtima jackson

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    wazee wa jamvi hili, samahani kwa kuwatoa nje ya maada, nawaomba tu mnisaidie namna ninavyoweza kuondoa "like" kwenye Team Kingwangala huko kwenye ukurasa wake wa facbook . Mimi ni hayo tu. Sitaki kuhusiana tena na mtu mwenye matamko ya kijinga ya namna hiyo!!
  6. kalikumtima jackson

    Muuundo wa serikali tanzania katika katiba mpya

    napendekeza kuwepo na jimbo la Tanganyika litakalokuwa na mikoa ya Tabora, kigoma, Rukwa na Katavi. Jimbo la Dar es salaam litakalokuwa na mkoa wa Dar es salaam na wilaya ya Bagamoyao na Kibaha, Jimbo Kilimanjaro litakalokuwa na mikoa ya Tanga, kilimanjaro, Arusha na Manyara. Jimbo la Zanzibar...
  7. kalikumtima jackson

    Muuundo wa serikali tanzania katika katiba mpya

    nimesema majimbo yanaweza kuongezeka kama ilivyo kenya, hivyo zanzaibar kukawa na majimbo mawili hata matatu!
  8. kalikumtima jackson

    Muuundo wa serikali tanzania katika katiba mpya

    tuwe na serikali kumi! serikali kuu na serikali nyingine tisa za majimbo. Majimbo manane ya bara na moja la zanzibar. Majimbo yawe na serikali zao na mamlaka kamili isipokuwa fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani na ulinzi. Hii itasaidia sana kuondoa uwezekano wa kuvunjika muungano, itaharakisha...
  9. kalikumtima jackson

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Ni mtoto -------- tu anaye weza kuvumilia Baba yake akitukanwa na kudhalilishwa!! he is now crossing the line, na hatupashwi kukavumilia hako ka Ngongoti!! Mimi nilidhani ka jamaa kana akili kubwa kumbe kanafikiria vita na kuua tu! Ni kosa gani kubwa Mkuu wa Kaya yetu alifanya mpaka astahili...
  10. kalikumtima jackson

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Nakushukuru sana kwa darasa lako ila nadhani kuna mahala kuna kosa! kwa nini kusiwepo na vipimo? Nadhani wakati act hiyo inapitishwa msamiati wa 'kuchakachua' ulikuwa bado kuanzishwa!
  11. kalikumtima jackson

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Bendera hizo zina tofauti kubwa mkuu wangu Scramble. Angalia rangi nyeusi na njano zilivyo kuzwa na kupunguza uhalisia wa rangi za Kijani na blue.
  12. kalikumtima jackson

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Inaelekea wengi tunaochangia maada hii tunakubaliana kuwa kuna mabadiliko ya/kwenye Bendera ya Taifa!!! Lakini hatujajadili iwapo mabadiliko haya yameshababishwa na ujio wa Obama au yalifanyika kwa kufuata taratibu zilizoko za kubadili bendera ya Taifa au ilikuwa ni makosa ya bahati mbaya au ni...
  13. kalikumtima jackson

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Nadhani historia itakuwa imeandikwa upya kuwa Rais Obama alipotembelea Tanzania; Tanzania imebadilisha Bendera na kufanya muonekano wa bendera ya Taifa ya sasa kuwa tofauti na ya zamani ili kuingia kwenye kumbukumbu kuwa ndilo Taifa pekee lililo wahi kubadilisha Bendera yake kwa ajili ya Ugeni...
  14. kalikumtima jackson

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Hii ni bendera ya Taifa kama ilivyo kuwa zamani
  15. kalikumtima jackson

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Hii ni Bendera mpya ya Taifa
  16. kalikumtima jackson

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Napata shida kuweka picha! kama kuna mtu anaweza kunisaidia tafadhali!
  17. kalikumtima jackson

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Mods, nisaidie ku edit heading isomeke Bendera ya Taifa badala ya Bandera ya Taifa!
  18. kalikumtima jackson

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Ujio wa Rais wa Marekani unaweza kubaki kuwa ni kumbukumbu kubwa kwetu kama nilichokiona jana, yaani kubadilika kwa muonekano wa Bendera ya Taifa; kutakuwa kumesababishwa na ujio wa Rais Barack Obama!! Barabara ya Julius Nyerere inayotoka Uwanja wa Ndege atakapopita Rais huyo kumepambwa...
  19. kalikumtima jackson

    CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

    Mimi nashangaa sana watu wanaoitetea CCM!!! wanashindwa kuja na hoja zenye nguvu za kushinda na badala yake wanaungana na CHADEMA kurushiana matusi na kuondoka kwenye hoja zenye tija!! Naamini Wana CCM wana mambo mazuri na mengi ya kuwashinda CHADEMA katika uzi huu kwa hoja!! CCM ni chama...
Back
Top Bottom