Search results

  1. Sekema

    Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    Mmmmmhhh hii ni ngumu kumeza jamani!! anyway ngoja tungoje tuone ila shaka yangu ni kwamba inawezekana tukaqwa tunapozwa tuu machungu.
  2. Sekema

    Jinsi nilivyokamata laptop yangu(31-Dec-2012) iliyoibiwa November

    Mkuu mbinu yako ni nzuri ila inafaa sana iwapo wezi ni vilaza na pili kwa mji mdogo wenye mafundi wachache, coz kama ni hapa Dar kuipata ilibidi ukatambike kwanza na bado usingeipata ila ungebaki na tumaini la kusema ipo siku ntaibabatiza tu.
  3. Sekema

    Wachina na bongo yetu!!!!

    Cyruss nadhan ww umeikurupukia mada husika by the way inaonesha hata pahala penyewe hupafaham vema lkn zaidi ni kwamba hata biashara yenyewe hujui taratibu zake. Kama ungekuwepo eneo la tukio na kuiona situation iliyokuwepo usingethubutu kuchangia mada hii kama ulivyoeleza hapa.
  4. Sekema

    Wachina na bongo yetu!!!!

    Kwa hiyo ww unamaanisha hata mwizi ajaye nyumbani kuiba asilaumiwe bali alaumiwe mwenye nyumba kwa kutokuweka geti au mlango wa chuma????
  5. Sekema

    Mtwara kumekucha! Ujumbe katika mabango kuhusu gesi...Vipi Bagamoyo?

    Daaaahh MY BEAUTIFUL COUNTRY whare are we going!!!!!!!?????????
  6. Sekema

    Sakata la mume aliyemfumania mkewe akijiuza

    Hakuna la ziada ni kwamba Dunia imeisha isha mda mrefu. Hata kama ndo ny****e hizo ni too much lkn hata hivyo hizo nye***e nadhani hazipozwi kwa mtu kwenda kujiuza sidhani kwa kweli! dada anatakiwa aombewe maana si bure!
  7. Sekema

    Takwimu hizi ni kwa maslahi ya nani?

    takwimu hizo zipo kila siku maana kila siku watoto wanazaliwa, isipokuwa huwa zinatangazwa kwa sababu tu ya umuhimu wa siku zenyewe na si vinginevyo. huo ni mtazamo wangu.
  8. Sekema

    Wachina na bongo yetu!!!!

    Gwangambo uko sahihi nilikumbuka kufanya hivyo baada ya kuondoka lile eneo maana hiyo hoja ilipamba moto nilipokuwa nimeondoka na kuingia uchumi supermarket of course nadhan ningeyapata mengi!
  9. Sekema

    Wachina na bongo yetu!!!!

    Hivi hawa jamaa wanamalengo gani na maisha ya watanzania? Siku ya x-mas mida ya saa tisa nilikuwa maeneo ya Quality Centre ndani ya duka moja linalouzwa vipodozi na marashi (perfums). nilipoingia nilimkuta mchina mmoja anajaribisha kwa kujipulizia karibia kila perfum aliyokuwa anaiona akafuta...
  10. Sekema

    Green star bus Dar - Mwanza

    Mwnyewe nimejaribu leo mpaka simu imeisha chaji simu inaita tuu bila kupokelewa hawa nao wameanza taratibu, mwishowe watakuwa hawana tofauti na hao wa mabasi!
  11. Sekema

    Msaada,kubana..... kunasaidia nini??

    Msese kwangu mimi hiyo ndo namba moja kama ni gemu nataka kumuonyesha mygal basi hapo huwa mpaka anaomba pooo mwenyewe yaaani hiyo mwenye shida namana ya kuipraktise anicheki ntamuelewesha kwa vizuri. epukana na dawa zinaweza kukufanya ukawa tegemezi kwa kunywa dawa then na akili itajityuni kuwa...
  12. Sekema

    White Lions

    Jiwe utakuwa hujakosea maana hata mimi nahisi vivyohivyo maana mchina anatisha sana ktk nyanja za uchakachuaji!!
  13. Sekema

    Weee Joni, weee acha kumtesa mtoto wa mwenzako we........

    African megic! kweli tuko juuuuu!!!
  14. Sekema

    Tazama swagga hizo.......kiuno size 31 lakini pensi la size 36

    wenda wazimu tu hao ningekuwa waziri wa nidhamu wote ningewatupa ndani!! huwa hazidondoki baada ya kufanya utafiti nimegundua kuwa huwa wanafunga na waya kwa ndani toka pale zipu inapoanzia then hadi kwenye korodani, means pale ukimvuta kwenda chini basi lzm atoe kilio cha nguvu!!
  15. Sekema

    Ni kweli yametokea

    Uko sahihi Lubaluka hata ukiangalia wanavyo fanana sura utagundua kuwa dogo yuko na bibiyake tena mzaa baba na si vinginevyo! la sivyo ni laaanaaaa!!
  16. Sekema

    Raha jipe mwenyewe

    Kweli raha jipe mwenyewe! sina mbavu jamaa kanikumbusha mbaaaaaliiii kwelikweli! Halafu nimejiuliza kuwa hivi ni kweli hata mm nilikuwa nafanya hivyo!
  17. Sekema

    Je Unakunywa Juice za Mixed Fruits?...

    Mzizimkavu naomba contact zako mkuu kama ikiwezekana nimeona una madini kibao hasa juu ya afya zetu!
  18. Sekema

    Dawa za kichina zatengenezwa toka binadamu

    Sasa kama ndio hivyo tumekwisha mmmmhhh!
  19. Sekema

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    mwisho wa siku tukaibuka na ubingwa huku tukiwaacha watu point saba cash!!!!!!!!
Back
Top Bottom