Search results

  1. C

    Kuinstall Android OS

    I'm afraid that's not possible. You should have android compatible device otherwise you can't do it If the device came with different OS then it might not support android
  2. C

    wapi naweza ku download cracked/nulled software

    Ewisoft website builder. Thats it
  3. C

    wapi naweza ku download cracked/nulled software

    Hi everyone Jamani kuna software natafuta license ya magumashi nimetumia takriban the whole day with no success Sasa nisaidieni known weblinks ninazoweza search na kupata nulled software Pirates is illigal but this is bongo, $60 is damn expensive. Please help out
  4. C

    Nape chukua kioo ujitazame kwa nyuma

    Nape karibu sana uchangie mjadala
  5. C

    natafuta galaxy y pro duos

    Nianyo used iko katika hali nzuri sana, nimetumia kwa miezi mitatu Bei tsh 240,000 Call me on 0767659145, 0787659145
  6. C

    Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Huu mmea unaitwaje kwa kiswahili? Maana picha yake inafanana na mimea mingine ni ngumu kuutambua vizuri Kama unajua watu wa tiba mbadala wanaoweza kuwa nao help me out, pia how do we call it in swahili
  7. C

    Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Yah, tunaweka matunda kwenye maji moto kabla ya kuyamenya, na najitahidi kutumia vyombo vikavu (yaani vilivyooshwa muda mrefu na kukauka na kufutwa) Kupima baada ya miezi sita na mimi nimeambiwa hivyo, lakini tatizo napata dalili za typhoid kabla ya miezi sita na hivyo inabidi kupima na...
  8. C

    Msaada wa haraka unahitajika

    Malaria unayopata isiyopona ninayo mimi pia, lakini uchunguzi niliofanya unaoonyesha ni malaria inayotokana na uwepo wa typhoid fever Malaria haiponi kama kuna typhoid mwilini, mimi iko hivyo hivyo na hapa nilipo natafuta dawa ya kutibu typhoid hasa anayejua dawa ya kienyeji naomba sana...
  9. C

    Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Jamani naumwa typhoid inaoonyesha dalili za kuwa sugu, maana natibu kikamilifu lakini baada ya miezi mitatu naumwa tena na nikipima nakuta typhoid ipo positive Nahakikisha nakunywa maji yaliyochemshwa, chakula cha moto, na mpaka maji ya kuoga na kupigia mswaki naweka waterguard lakini bado...
  10. C

    .doc format filles turn into .exe

    That's virus infection, scan your drives with antivirus software
  11. C

    Natafuta simu galaxy s2

    Ninayo samsung galaxy Y pro duos B5512 With android 2.2 WiFi, mini hotspot and many features (google to see all specs) Used for 2 months My price is only 200,000 Call me on 0767659145, 0787659145 Email: alphonce@alphonce.net
  12. C

    Laptop ya lak 5 inatafutwa

    The guy was not serious, haven't heard from him. Seems like was kiding
  13. C

    Msaada: Ujumbe "Remove disks or other media..Press any key to restart"

    Well, lazima itakua huna cd drive kwenye hiyo laptop, ndio maana ukaeleza mambo ya kutoa hard drive ku install kwenye computer nyingine Sasa kwanza fahamu kitu kimoja, kama umetoa disk ukaenda install kwenye computer nyingine itaweza kufanya kazi tu ikiwa firmware specs zinaendana kati ya...
  14. C

    Laptop ya lak 5 inatafutwa

    Wasiliana nami, nina toshiba satellite with following specs Disk 500gb Mrmory (ram) 3GB Processor intel 2.0 duo core 15inch LCD Dvd writer WiFi Niko mwanza pia Call me on 0767659145, 0787659145 Email: alphonce@alphonce.net
  15. C

    Hivi kwa nini Wanaume wengi wanapenda kusaidia 'UKWENI'

    Kwa sababu ndiko inakotoka ile kitu tamu
  16. C

    ISTALING ANDROID OS IN LG kp500

    Unaweza install android kwenye compatible device. Hivyo be sure that you have compatible device first. In most cases compatible devives comes with android already installed from manufactures
  17. C

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

    Vipi kuhusu mfumuko wa bei za bidhaa na huduma? Kukua kwa kiwango cha umasikini? Ukosefu wa ajira? Gazeti la uhuru wameanisha haya pia?
  18. C

    Mwalimu wa kufundisha sql server 2008

    Kuna namna ya kujifunza sql server nyumbani kwako kwa muda unaotaka, na utaelewa vizuri kiliko namna yoyote nyingine ya kujifunza Visit www.alphonce.net | ICT Video training courses
  19. C

    Bajaji inauzwa bajaji inauzwa

    Hiyo pikipiki iko wapi kwa sasa? Let say nahitaji kuja kuiona
  20. C

    Msaada..... Vishoka wanahitajika

    Tsh 300,000 kama unayo nipatie namba yako and let's talk out of here
Back
Top Bottom