Babu yangu aliwahi kunisimulia ndoto yake kuwa,katika kisiwa cha Donge waliishi wanyama na viumbe wengine walioshirikiana sana kwa kila jambo.Mfalme wa kisiwa hicho aliiamini kuwa kila kiumbe amepewa kipqji cha kufanya jambo.
Sikumoja Mfalme aliitisha mkutano mkubwa na kutaka kila kiumbe abuni...
Suala la watumishi hewa kuchukua muda mrefu kushughulikiwa, limesababisha watu wasio na hatia waendelee kuteseka.
Kuchelewa kupanda madaraja, kutolipwa mapunjo na malimbikizo ya mishahara kwa imani kwamba wahalifu pia watapanda madaraja na kulipwa malimbikizo ni adhabu kali kwa wasio na hatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.