wirewizard
Member
- Feb 14, 2014
- 75
- 56
Mimi ni mkulima ambaye Niko maeneo ya Bagamoyo ..Mkoa wa Pwani...Nataka kulima mahindi kipindi hichi cha mvua za vuli ....Je nitumie Mbegu gani ya mahindi..?..Ili nipate mavuno mazuri.
Ngoja Waje watusaidie, hata mimi Shida yangu ni hiyo hiyo.Mimi ni mkulima ambaye Niko maeneo ya Bagamoyo ..Mkoa wa Pwani...Nataka kulima mahindi kipindi hichi cha mvua za vuli ....Je nitumie Mbegu gani ya mahindi..?..Ili nipate mavuno mazuri.
Kuna mtu kanishauri nipande mbegu aina ya KISHOKA. Maeneo ya Vikindu.tatizo situka ina punje ndogondogo mno hazina soko.