Search results

  1. H

    Jamani Nisaidieni Mbinu za Kutenganisha Wanandoa!!!

    Aah mbona simple sana mkuu, fanya hivi... nenda home kwa dem si unapajua wanapoishi baada ya ndoa? Subiri mida flani ya jioni hivi zama home kwao afu unamwambia dem asaule kabisa nawe saula mazee mnapiga brush kimtindo, halafu mkisikia gari ya mume inakuja mwambie dem ashuke kitandani akamate...
  2. H

    Nini Kinawafanya vijana kuwa mashoga?

    siamini na utafiti huu wa huyo dokta uchwara wa kitanganyika. sikatai zanzibar kama kuna mashoga lakini kusema ndio sehemu inayoongoza kwa mashoga hapa Tanzania sikweli tena sikweli. Jamani kuweni wa kweli mbona hamuwi wa kweli kila kitu mnasukumwa na dini najua uyo dokta ansumbuliwa na...
  3. H

    Mtoto Mwingine wa Miaka 9 Abadili Jinsia Uingereza

    Mh! Yaani nimejiuliza maswali kibao bila jibu la msingi. Labda alikuwa na jinsia 2 sasa hiyo ya kike ndio iko active! Au labda wamepata watoto wote wa kiume wanataka wa kike... ha ha ha... kwa kifupi sielewi. Hawa watu ni watata...!
  4. H

    First Time Sex-E bana weeee!!!!!

    Du! Dogo Stimu zote kwishnehi......
  5. H

    Ufisadi NHIF

    Kwa kweli issue imefika mahali pake...wanajamii tuipigie debe huyu anayejiita mkubwa aadabishwe. Issue za mfuko wa Bima ya Afya imekuwa ni wimbo kwa walimu na walala hoi. Vimshahara vyenyewe vya kubeep halafu vinakatwa kila mwezi kwa geresha kuwa watapata huduma bora za afya. Kila siku wakienda...
Back
Top Bottom