Search results

  1. K

    Kutakuwa na faida gani kurudisha JKT?

    Watu wanabakwa majumbani kwao, mashuleni, mtaani, mahotelini n.k. Hiyo tu haitoshi kusema JKT haina faida. Mimi nilikuwa Makutopora ( makutu poa! ) operation vyama vingi. Kuna tuhuma kama hizo zilimfikia Maj Gen Makame Rashid...nilishuhudia Afande akifukuzwa kazi kwa unyanyasaji wa kijinsia...
  2. K

    Sakata la kuuzwa UDA: Kauli za Idd Simba, Masaburi, Kisena et al utata mtupu

    Haya ndio mambo Takukuru ilitakiwa kushughulikia! Siyo kutoa semina mashuleni!
  3. K

    Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia!

    William mbona unashindwa kujenga hoja?Unarundika rundika mambo tu. Hoja ya Zitto ni simple: Kwa mbunge anayelipwa mshahara na posho ya kujikimu, posho ya kuhudhuria vikao ni ya nini? . Sasa ambacho huelewi hapo ni nini? Fumbua macho uone.
  4. K

    East African Countries' Budgets

    Bajeti ya Kenya ni Kurasa 32. Full speech ya Mh Uhuru inapatikana hapa Republic of Kenya: Ministry of Finance
  5. K

    Kujivua gamba ni heshima kwa chama - Mwakyembe

    Mwakyembe please! Nini kimekukumba?
  6. K

    Akaunti za mafisadi BoT zagundulika

    Hiyo ripoti nani kaiona? Wanaotajwa katika hiyo ripoti ni akina nani? Akaunti za akina nani zimezuiliwa ( ama bado wana uhuru wa kuhamisha fedha na kuzificha? ), Mahakamani wana fikishwa lini? Kama ni watendaji serikalini waliofukuzwa ama kusimamishwa ni akina nani? Hivi ndio vigezo...
  7. K

    Technical report about Loliondo, Uchakachuaji ni kila mahali jamani! Tutafika?

    Wajinga ndio waliwao. I am surprised a government institution is endorsing this quackery! Again I am not surprised because it is Tanzania where anything goes! Hakuna kujali maisha ya watu na hakuna kuwajibika! No Efficacy test has been done on the concoction that the babu is dishing out, it is a...
  8. K

    Connecting the dots - ICC co-arbitrators who gave the Dowans ruling

    If we define the dots to mean "any proof of connection existing between the arbitrators and either of the parties to the dispute leading to a conclusion of impartiality on the part of arbitrators." so the logical conclusion here would be to show that the ICC award was gainst TANESCO because the...
  9. K

    Elections 2010 CHADEMA na kampeni kwa njia ya Mtandao

    you can not compare internet penetration in tanzania ( both broadband and wap ) with the USA. a decent inquiry on the use of media in tanzania whether traditional or non traditional will show that as an election strategy, the internet in tanzania is not up to the task yet, hence there will be...
  10. K

    Hakimu Joyce Minde na MTIKILA

    usikurupukie mambo usiyoyajua. utafiti wa juu juu tu ungekuweza kubaini kwamba takriban kila nchi duniani ina sheria inayoruhusu civil prison. sasa kwa tanzania ni kwamba wadai wengi huwa wanasuluhisha mambo nje ya mahakama. na pia wadaiwa huwa siyo vichwa ngumu kama mtikila! hakimu alikuwa...
  11. K

    Now Japan is bribing our ministers with prostitutes?

    Tanzania kama nchi ilishaamua itapiga kura namna gani. Wawakilishi wa Tanznia kwenye mikutano kama hii huwa wanapewa Instructions kutoka serikalini na sio kufanya kama watakavyo. Wahongwe wasihongwe that does not matter since the decison is already made at home. Unless mwakilishi amepewa special...
  12. K

    Dr. Jakaya Mrisho Kikwete!

    Some universities and colleges have been accused of granting honorary degrees in exchange for large donations. Honorary degree recipients, particularly those who have no prior academic qualifications, have sometimes been criticized if they insist on being called "Doctor" as a result of their...
  13. K

    Serikali na Hatima ya ATCL

    "An inspection by IATA and TCAA jotted down more than 500 operational gaps" jamani hivi bado bodi ya ATCL haijatimuliwa tu? Wanasubiri nini? kikao cha mwisho wagawane posho? Hivi hadi sasa bado management ya ATCL ipo kazini na wanalipwa na kodi ya mvuja jasho wa Tanzania? DPP unasubiri...
  14. K

    Zitto ataka wabunge wa zamani waombe radhi

    Zitto na wewe uombe radhi pia. Toka umekuwa mbunge 2005 sheria hiyo hiyo ya madini bado inatumika na taifa linaingia hasara kila siku. je unajua ni $$$$$ tanzania imepoteza kupitia sheria hii toka umekuwa mbuge? Hivyo basi acha longo longo. Peleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya madini...
  15. K

    Paukwa... Pakawa!

    You are absolutely right Rev! Hapa inabidi tuwe makini.Kwa kawaida katika mifumo ya kiutawala, wanasiasa in this case Mawaziri huwajibika kisiasa kwa makosa/mapungufu yaliyotendwa na watendaji walio chini yao. Mara nyingi Raisi atamtaka waziri husika awajibike kwa kujiuzuru. Tukumbuke...
  16. K

    Ufisadi wa Johnson Lukaza

    sasa kama dada yake ni mke wa "mshikaji wako wa karibu sana" what the **** are you doing betraying their confidence in public? is it because haukunufaika? you make me sick!
  17. K

    Tumeshindwa, tuombe msaada kwa wazungu?

    Nafasi ya uchawi na ushirikina katika tanzania bado ni kubwa. Walioenda shule wamo na wasioenda shule wamo pia, walio na dini wamo na wasio na dini wamo pia! ni vigumu kwa askari/hakimu/mtawala anaye amini katika kutoa kafara ili 'afanikiwe kikazi/kibiashara' kuchukua hatua dhidi ya uhalifu wa...
  18. K

    Je, Mwalimu alihodhi maendeleo na kupeleka Butiama??

    i agree with you. maendeleo gani butiama? no running water ( kulikuwa na mradi wa mkono kwa mkono kupeleka maji butiama, shule ya msingi butiama hoi kama zingine, kituo cha afya taabani kama vingine, hali ya umasikini kama vijiji vingine tanzania! indeed there was nothing exeptional about...
  19. K

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    msekwa always a loser! short on vision and long on poor judgement!
Back
Top Bottom