Search results

  1. M

    Elections 2010 Hivi maamuzi yetu ya kuwachagua viongozi yatachakachuliwa hadi lini?

    Inasikitisha sana kuona kila unapofanyika uchaguzi mkuu wa kuwapata viongozi, maamuzi ya wananchi juu ya kuwachagua viongozi wao kuanzia Madiwani, Wabunge hadi Rais huwa hayaheshimiwi. Unakuta nchi inatumia rasilimali nyingi sana za wananchi(walipa kodi) katika kuandaa uchaguzi, ambapo fedha...
  2. M

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Haika, umezicheki kupitia wapi? Hebu nionyeshe ili nami niweze kuchangia.
  3. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Inasikitisha sana kuona viongozi wakiifilisi nchi kwa kuitafuna ilihali wananchi wake wakiachwa maskini wa kutupwa ndani ya nchi yao! Swala la JK kuruhusu Rais Mstaafu Ben Mkapa kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kama mahakama kwa tuhuma kama hizi, hilo halipo. Kama utakumbuka swala la Balale...
  4. M

    TRA - Napasuwa Ufisadi Mwingine!

    Hii habari ni nzito sana... lakini mwisho wa yote haya nini jamani? Hii nchi ni ya Watanzania wote na si ya hao mafisadi pekee. Mali na rasilimali yote inapaswa kuwanufaisha wavuja jasho na walala puuu wote. Maana tutasema sana lakini hakuna kinachofanyika na rasilimali za nchi ndio zinazidi...
Back
Top Bottom