Search results

  1. S

    Munishi: Chadema haiko tayari kuiacha nchi iendelee kuwa chini ya panya by 2015

    Mbona huyo Munishi kafanana na Mbowe hivyo? Je wana undugu wowote? Embu nijuzeni jamani kwa sababu nimekua nikijiuliza sana hili swali.
  2. S

    Mbunge wa Hai Mh. Mbowe afanya mambo...

    Hongera Mbunge Mbowe kwa kuthamini kazi ya wananchi. Usiishie kutoa huo msaada tu lakini kama kiongozi hakikisha hiyo shule inakamilika kwa kuisimamia ipasavyo
  3. S

    CDM yamhenyesha Pinda uingereza

    Hebu tuwekee picha ya jinsi mkutano wa Pinda ulivyokuwa basi. Na huo mkutano wa Wenje na Munishi kama anavyodai SCOLARI ulikuaje? Nini kilijiri. Hebu shuhudia
  4. S

    Lamba lamba wadada

    Hapo chacha. Lakini zisifike hapa bongo coz zitaendelea kuharibu watoto
  5. S

    PICHA: Kikwete huyoo anasaini mikataba mipya na waarabu Oman

    Hiyo mikataba haitusaidii chochote. Hebu arudi haraka nchi inaangamia hapa.
  6. S

    Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

    Wakristu wanapaswa kuwa wavumilivu kwani wakijaribu kuinua mikono yao basi hatuna tena Tanzania. Mtoa taarifa ebu tuambie jina la hilo kanisa na ni dhehebu gani?
  7. S

    UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

    Kuna walakini katika kutoa huduma ya uathirika.
  8. S

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    Zanzibar si salama tena . Kesho Ijumaa watu wa Dar es salaam wajihadhari. Tanzania si salama tena
  9. S

    CCM na Rushwa: Uchaguzi CCM Mkoa Pwani wavunjwa kwa Rushwa.....

    Inasikitisha sana. Nimemuona mkuu wa mkoa wa pwani akivunja mkutano huo na kuamuru viongozi wa ccm mkoa kutafuta ukumbi mwingine na sio ofisini kwake tena. CCM bila rushwa haiwezekani.
  10. S

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Mwenyezi Mungu awajalie busara na hekima ili watakalotoa liwe la kheri zaidi kwa watu wote
  11. S

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    Jamani, kwanini nchi yetu inaelekea kusiko?
Back
Top Bottom