Search results

  1. U

    Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi

    Mbegu moja ya kiazi ina urefu gani (yaani hilo jani)
  2. U

    Waziri Ummy Mwalimu asema Wizara haina pesa kuwalipa Madaktari walioagizwa wawaajiri

    Mimi siamini kama Waziri amesema hayo. Kama bosi kaagiza ni jukumu lake kukaa na mwezake wa UTUMISHI ili waangalie namna ya kuadjust wagebill. Hiyo inawezekana kwa kuendelea kusitisha/kupunguza ajira mpya katika sekta nyingine. Aidha waangalie namna ya kurekebisha nyongeza ya mishahara na...
  3. U

    Gwajima atembelea Clouds media, asema yeye amekuwa mwanafamilia wa Clouds

    naomba wale wazee wa huko kwao wawaite na kuongea nao (hao vijana wao)
  4. U

    Tanzania ni namba 6 kati ya Nchi 15 Wafanyakazi wanakolipwa mshahara mdogo zaidi duniani

    Huwezi linganisha mishahara ya nchi tofauti halafu ukatoa uamuzi. Ni muhimu kuangalia Parchasing Power Parity - Yaani uwezo wa fedha hiyo kununua bidhaa na huduma. Tunaweza kupata mishahara sawa i.e $500 ambapo mimi naweza kupanga chumba kwa $10 wakati wengine wanapanga kwa $100 kwa mwezi...
  5. U

    Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Hali ya uchumi ni mbaya

    Uchumi unakua ila kasi ya ukuaji imepungua. Ngoja JPM aweke mambo sawasawa na utarudi katika hali ya kawaida
  6. U

    Siku akikwama kazini kwake kuhusu wafanyakazi hewa atalia na miti

    Kama mlimuuzia cheti ni kwamba mmemalizana. La sivyo ni tabia yake kudharau. Alinyenyekea kwa vile alikuwa hajapata.
  7. U

    Rais Magufuli usihangaike kutafuta pesa majumbani, pesa zinafichwa kwenye mitandao ya simu

    Mkuu akisema kuwa fedha zimefichwa atakuwa ana uhakika.BOT wanajua hesabu za fedha walizotoa ziende kwenye mzunguko na zinatosha kulingana na shughuli za kiuchumi. Sasa kama fedha zinazozunguka ni kidogo ina maana zimewekwa kwenye magodoro. Hizo za kwenye simu na mabenki yote zinajulikana pia...
  8. U

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Hii mbegu inayopandwa kwenye jamii kuhusu ukabila na ukanda itatuharibu jamani!! mwanzoni nilifikiri ni utani lakini naona inazidi kumbe sio utani na inatoka moyoni!!!
  9. U

    Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

    HBD kaka!! mungu aendelee kukutegemeza.
  10. U

    Papa Msoffe apata dhamana baada ya kubadilishiwa mashtaka

    Nasema Hivi: " Mungu hahongeki"
  11. U

    Papa Msoffe apata dhamana baada ya kubadilishiwa mashtaka

    mungu aliye mume wa wajane na baba wa yatima atatenda!!!
  12. U

    Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya zaidi duniani

    mbona ni mrembo huyo? amekonda tu. akiongezeka kidogo mbona na sura ni nzuri sana
  13. U

    Chid Benzi ahukumiwa miaka miwili jela

    Madawa ya kulevya afunge miaka 2 au faini!!!!!!!:A S embarassed:
  14. U

    Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    Mwacheni Lukuvi. Ana akili sana- Nilisoma naye A-level
  15. U

    Kuna mchezo unachezwa TANESCO

    Mie wamekuja nyumbani mafundi wakapachika kiwaya kwenye luku na kumlazimisha h/girl asaini na kupiga picha meta na H/girl eti tumeiba umeme. mimi najiuliza huo waya ameweka nani? anayenunua umeme ni mimi sasa iweje mtu aweke waya ili matumizi yapungue? na kama ni hivyo mbona matumizi...
  16. U

    Nimekutana na Mama Mkapa ana majeraha mengi

    Alianguka kwenye ngazi za st Gasper huko DOM. alikosea step kwenye ngazi
  17. U

    Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

    Hilo ni swali au ni jibu? Rudisha fedha za watu
  18. U

    Unajua unaongea na nani?

    Kweli Mungu ni Mkubwa!! huyo mjamaa nasikia alipowasili Maliasili akasema YEYE NI MBUYU na mtu yeyeto anayefikiria kumwangusha atakuwa futi sita chini kabla hajaanguka! sasa akaanguka mwenyewe! chini kulikuwa hamna miti. Huyu jamaa nadhani anajihami kwa kutisha watu ili wamuogope.POLE zake
  19. U

    LOWASSA kuanza kampeni waziwazi, ni baada ya January Makamba kutangaza nia

    Hivi hii nchi ni ya watu fulani tu? Akitoka baba anaingia mtoto n.k. Sisi tutaingiaje huko?
Back
Top Bottom