Search results

  1. C

    "Nyumba ya Amani". "Dar es Salaam." "Mzizima". Haya yote ni majina ya Jiji letu

    Ndugu zangu salaam. Jina la mji kwa kiarabu inamaana "Nyumba ya Amani". Dar es Salaam kuna kwa wakati mmoja alitwa Mzizima. Mwenye ufahamu wa jina hili liliwekwa sababu gani haswa? Source: wikipedia.
  2. C

    Nilinyolewa nywele zote sehemu za siri nawachawi usiku

    Naitwa Prisca mwenyeji wa mkoa wa Arusha, napenda nishuhudie kitu ambacho kimetokea maishani mwangu hadi kupelekea kuokoka. mwaka 2010, kwa sababu ya kutafuta maisha nilikwenda zanzibar kuishi huko na nilipata chumba cha kupanga maeneo ya airport na niliishi vizuri tu na majirani...
  3. C

    Mtaala wa vitabu unaotumika na shule za english medium

    Nilitaka kujua kuhusu vitabu vya walimu vya kufundishia, kila mwalimu anaagiza mwandishi wake wa kitabu kiasi kwamba inatuchosha wazazi, mtoto aliyesoma mwaka jana na kitabu mf. hesabu mwaka huu hawezi kutumia mdogo wake mwaka mwingine. Tunachoshwa na hizo gharama mara mbili kulundika vitabu...
  4. C

    Hiki ndiyo mlo wa mchana siku ya kusimikwa upya kwa raisi obama 21/1/2013

    obamafoodorama.blogspot.de/2013/01/recipes-for-president-obamas-2013.html?m=1
  5. C

    wanasiasa hawawezi kwenda mbinguni labda watubu tu

    Mimi nimeokoka nasema wanasiasa hawawezi kwenda mbinguni wasipo tubu makosa yao na kungama dhambi zao kwa kumaanisha kuziacha na kubadilika jamani!
  6. C

    Benzi la teketea na moto njiro karibu na geti ya kk security

    picha sina ila ni D220 Benz si jui ni la yule mzee wa njiro au maana limekuwa majivu kabisa siyo rahisi kulitambua ila imebakia ile nembo ya D220 kwa nyuma tu.
Back
Top Bottom