Search results

  1. K

    What Cardinal Pengo believes

    Cardinal Pengo yuko sawa na ataendelea kuwa sawa sawa hata siku zijazo huko mbele kwani anachokipigia kelele ni kikubwa hata zaidi ya hao wanasiasa wenyewe,ni kweli nchi inaliwa na wachache wakati wengi wetu hatuna kitu tunabakia kuendelea na umaskini wetu huku tukiangalia kundi la wachache...
  2. K

    Je ni nani Mzalendo wa kweli: Zitto, Pinda, JK au Lipumba?

    Dr Slaa ni kiboko yao hakuna Kabwe wala Pinda hapa wala JK wao wote hamna anayemuweza huyo dr wa CHADEMA. Ni mkali sana kiuwezo wa kufuatilia mambo yuko makini sana na kazi yake,tena atapendeza sana kama chama chake kitamsimamisha agombee urais katika uchaguzi ujao watanzania wengi wanaonyesha...
  3. K

    Pengo: Nchi imeoza!

    Pengo anayo right kuzungumzia suala la ufisadi kama kiongozi wa dini lazima ikumbukwe kwamba issues zote zinazohusu masuala ya morality huwa zinazuungumzwa na viongozi wa dini kwanza duniani kote kabla hata ya wana siasa kuanza kuzizungumzia mfano ni suala la same sex marriages huko US watu...
  4. K

    COL.MAHFUDHI: Zanzibari and Tanzanian internationalist

    wandugu kusema kwamba marehemu Abeid Karume aliruhusu waafrika wawabake mabinti wa kiarabu itakuwa ni makosa na uzushi ,nafikiri wengi mnayajua mapinduzi yaliyotokea visiwani kupitia watu wenye chuki za kibinafsi na watu wa visiwani,ukweli wa mambo ni kuwa hayati Abeid Karume alijaribu kuondoa...
  5. K

    Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    Mimi ninajua iko siku nitauwa mtu tena mzungu nitampiga risasi kama ataniletea jeuri nitamwonyesha nini waafrika jinsi tusivyotaka upuuzi na kudharauliwa katika continent letu la Africa,washenzi wanatudharau na kutuchukia sana sis waafrica na watu weusi wote duniani. peace zee la Ujiji Karengas
  6. K

    Madhara ya 'Mlango wa dharura' ni yapi?

    [X-Paster ni kweli huu mchezo si mzuri kabisa na unamlemazamfanyaji na mfanywaji pia, ni addiction mbaya sana wengi wanakwama na huu mchezo mbaya sana,moja ya madharayake makubwa ni kupata ngoma ,kuharibika akili, kupotezanguvu za uume.Haka ni kamchezo kabaya sana tafadhalini ndugu zanguni...
  7. K

    Watanzania wapuputika

    Suala la waislam kuwa ndio wengi katika biashara ya madawaya kulevya ni sahihi 1 kwa sababu moja ya msingi,mfano ukienda nchi ya USA ukitembelea katika correction instutes zao wengi wa wafungwa wao ni jamaa wa kizungu hiyo ni kutokana na ukweli kwamba wenye nchi hiyo ni wazungu ambao ndio...
  8. K

    The road towards 2010 Elections

    Tatizo la sisi watanzania ni kwamba tulikuwa na kiongozi wa nguvu sana na tangia alipoondoka tunahitaji kila atakayekuwa rais afanye perfomance kama ya mzee Juliu Nyerere,hilo ni jambo halitowezekana katika kipindi kama hiki kifupi. Tulikuwa naye Dr Salim Ahmed Salim na tulimkataa wenyewe...
  9. K

    AU tumeni majeshi Somalia

    Ndio Bakar Muhogo,these Somalis the day they will commit the acts of pirates in our area will be the last day of doing it in our soil,they know us very well.About these Tutsis, they are very dangerous, iam from Ujiji,that means iam Chadema damu damu,Ujiji means Chadema, They brought one M/tusi...
  10. K

    Mwalimu Nyerere (RIP): Matukio Muhimu Mpaka Kutuaga Watanzania

    Yule mzee wetu alikuwa mtu kabambe sana .Lazima tushukuru kuwanamzee kama yule.Alikuwanamapenzi makubwasana na raia wake,tumepoteza kito chamaana sana, mtu hajui anacho mpaka kikipotea ndio ana kumbuka kwamba alikuwanacho kitu.Zidumu fikrazamzee wetu Kambarage. Ameen Mzee kutoka Ujiji
  11. K

    AU tumeni majeshi Somalia

    Well written Wembe mkali it is true that There is something fishing in Democratic republic of Congo.In fact the whole idea started from Bill Clinton administration through Paul Kagame and M7 ,they wantedto create Bantu stans in that country, eastern kongo was going to become part of Rwanda the...
  12. K

    AU tumeni majeshi Somalia

    Hii, it is not easy to solve Somalia crisi,too complicated issue and those Somalis they will wage a big war against African Union,i belive in dialogue and negotiations between the warring parties.Donot get confused by that achievement in Comoro islands, it was very cheap and weak target, that's...
Back
Top Bottom