Somalia inawaka moto, viongozi wa Afrikan wanafanya nini? Uganda tu imetuma majeshi kuisaidia Ethiopia lakini hakuna nchi hata moja ya Afrika iliyojitolea. Je hili ni tatizo la Somalia na ethiopia peke ake na sio la waafrika wote? Jamani tutakubali taliban waaze fujo zao Afrika au kama kawaida yetu tunasubiri wamerekani/wazungu watusaidie?
We need to wake up and realise that we as africans are responsible for our own security and yes we can defeat these rag tag militias and we have the resources to do so!
Tunakosa tu ushujaa!Angalia wazungu walivyofanya huko kosovo!Kama wasingeingilia Europe ingekuwa inawaka moto mpaka sasa hivi na sisi tusipojiangalia, vita hii itaenea! Mnaonaje?