Search results

  1. J

    Hili hapa chimbuko la Mkataba 'tata' wa Bandari, hawa wanacho cha kutueleza!

    Kama timu ya majadiliano ndiyo hiyo na tunaaminishwa kwamba ni wanasheria wabobezi basi Tanzania tuna shida sana na tuan uhaba mkubwa wa wataalamu wa majadiliano ya kimikataba. sitaki kuamini kama walilainishwa na oil/ grease
  2. J

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Kama una kitabu cha riwaya titled SIKUDHANI tafadhili nakihitaji.
  3. J

    Natafuta kitabu chenye jina "SIKUDHANI"

    Kitabu hiki cha Sikudhani kilitumika kama moja vya vitabu vya riwaya kwenye somo la Kiswahili O'level mmiaja ya 80/90. Tafadhali mwenye kujua kinapatikana wapi au ambaye anacho tuwasiliane.
  4. J

    St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Ni mwaka mmoja tu 1997 ambao St. Francis walikuwa nje ya kumi bora tangu shule ianzishwe. Na mwaka huo ndiyo ilikuwa form four ya kwanza na hapo walikuwa wa 17 kitaifa.
  5. J

    Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Miaka hiyo Mwalimu MOHAN KUMAR (mhindi - expatriate toka India) wa Accountancy na Mwl. BUSHUMBA wa Commerce pale SHYCOM. Hawa walikuwa ni zaidi ya walimu. walikuwa walimu na nusu.
  6. J

    Kwanini mnaita Serikali ya awamu fulani ya Mheshimiwa fulani wakati ndiyo serikali iliyopo?

    Kwa kiasi kikubwa toka ndugu John Pombe Magufuli alipopata urais mpaka sasa ambapo ndugu Samia Suluhu Hassan ndiyo rais, viongozi waliokuwa / walio chini yao wamekuwa wanatumia maneno yenye ukakasi na yenye kuonesha mambo yote ya serikali wanafanya na mtu mmoja ambaye ni rais! Hii ni tabia ya...
  7. J

    Elimu sio Siasa, Nyuma ya pazia Sekondari ya Mt. Francis Mbeya

    Mkuu wewe kiboko!!! Utabiri wako umekamilika. St. Francis girls Form four 2020 results: Div 1.7 - 79 Div 1.8 - 9 Div 1.9 - 2 Jumla ya wanafunzi 90. Kweli wa mwisho ana points 9.
  8. J

    Kidato cha nne 2012 na kidato cha sita 2013 ndio matokeo halisi

    Mkuu hakuna cha kushangaza hapo. Vigezo vya kupata div. One ya point 7 ni tofauti na ya kumfanya mtu awe kwenye top ten. Ili uwe na div 1 ya point 7 unatakiwa kuwa na angalau alama A saba kwenye masomo uliyofanya mtihani, na kuwa kwenye top ten unatakiwa uwe umepata maksi nyingi kupita wengine...
  9. J

    Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima na ahadi ya kutupeleka USA

    Askofu Gwajima nadhani hakufanya utafiti kwanza kujua ni nini nahitaji wa wana Kawe ama hajui mipaka ya kijiografia ya Kawe wala composition ya wakazi wa Kawe. Pamoja na kwamba jimbo la Kawe linapakana na bahari lakini shughuli kuu za kiuchumi kwa zaidi 95% siyo uvuvi. Lakini anaahidi kununua...
  10. J

    Serikali ikajifunze toka St. Francis Sekondari Mbeya kuboresha ufaulu wa kidato cha nne

    Kwa St. Francis matokeo ya darasa la saba siyo kigezo kabisa cha kuchaguliwa kujiunga na form 1. Kigezo chao kikuu ni kufanya vizuri mtihani wao wa mchujo ambao hufanywa na matokeo yake kutolewa hata kabla ya matokeo ya necta ya darasa la saba. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    MALEZI: Mzazi, Usimpe mtaji mwanao!

    Hii nimeipata sehemu, unaweza kuitafsiri *Are your children ready to inherit you?* The only son of a certain wealthy man wanted to inherit the father's business. The old man gave him one condition to fulfill: "Earn 10,000 dollars, show me the money and my multi-million dollar business is...
  12. J

    Hatimaye ndoa yangu imevunjika kwa sababu ya simu tuu

    Siyo simu iliyosababisha kuvunjika kwa ndoa yenu kwani simu ilikuwepo siku zote. Ni hiyo michepuki yako. Hata kama isingekuwa simu lakini akajua kwa njia nyingine kwamba una michepuko ndoa ingevunjika tu.
  13. J

    Tundu Lissu: Siwezi kurejea Tanzania hadi niruhusiwe na madaktari

    Hivi inaelewa matumizi ya neno "kamwe"?
  14. J

    Mtamkie X wako neno lolote hapa

    Hii nimeipata sehemu. Jamaa katoa neno kwa X wake "Ex wangu natamani upigiwe simu, njiani, ukiipokea kibaka akupole simu, ukianza kumkimbiza ugongwe na gari. Ije Ambulance ikubebe ifike darajani idondoke kwenye maporomoko ya maji upasuke kichwa halafu uliwe na samaki. Samaki avuliwe na Mvuvi...
  15. J

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Mimi Ndiye niliyekuwepo wakati huo. CO ni MKUU wa kikosi na ndiye aliyetangaza na OC ni mkuu wa kombania. Kikosi (kambi) inaweza kuwa na ma OC wengi kutegemeana Na idadi ya kombania lakini CO ni mmoja tu - MKUU wa kambi
  16. J

    Shule hii Mbeya iko wapi?

    Ukipita uwanja wa mpira wa zamani nadhani ndipo hapo ilipokuwa hiyo shule. Miaka ya 83 kurudi nyuma na baada ya miaka unsyoitaja wewe palikuwa na shule (of course ilikuwa ya zamani sana) ilijulikana kana Mbeya Primary. Kama sijakosea sana mwaka 1983 hiyo primary school ilifutwa na wanafunzi...
  17. J

    Serikali inunue mabasi na ifute leseni kwa mabasi ya Dar kwenda Mwanza,Arusha,Mbeya,Dodoma,njia hizo Serikali izimiliki, itapata mabilioni

    Sijui una umri gani lakini wale wa zamani watakumbuka kulikuwa na makampuni ya usafirishaji (we abiria na mizigo) yaliyomilikiwa ba serikali. Ungeuliza kwanza hayo yalikwenda wapi? -Yako wapi mabasi ya KAMATA (Kampuni ya Mabasi ya Taifa) -Yako wapi Mabasi na malori ya RELWE - Yako wapi mabasi...
  18. J

    CCM yateua Wagombea Ubunge majimbo Ya Ukerewe, Babati Mjini, Simanjiro Na Serengeti

    Kwani kumuunga mkono Rais na kupigiwa kura vina uhusiano gani?
Back
Top Bottom