Search results

  1. 1000 digits

    Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Kuna kutafuta pesa na Kula Kwa Jasho. Mwanaume pesa yake inaktoa jaso hata kuitumia ni kwa mahesabu ya kumtoa Jasho tofauti na mwanamke . Mwanamke Hana mambo mengi katika kuwaza pesa . Anaiwaza Kwa mambo machache ya kujiremba na kuishi maisha mazuri na watoto wake basi. Kwa sasa Wote...
  2. 1000 digits

    Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Hakuna Tena mfumo wa Kutawala mwanamke katika New world Order. Dunia tunakokwenda maribort ndiyo yatakua marafiki wa binafamu.
  3. 1000 digits

    Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Hakuna Mzalendo anayeogopa kuuawa . Ndio maana tunasema Makonda ,Lisu ,Mpina na Baadhi ya wanajeshi ndio wanaopaswa kutawala hii nchi na kuufuta ufisadi ili tupate maendeleo na kiondokana na huu mfumo wa wezi kujipenyeza kwenye siasa na kituchagulia Mawakala wao kuongiza nchi. Yaani Tanzania...
  4. 1000 digits

    Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Shetani akamwambia mwanamke . Siku utakapokula tunda la mtu wa katikati utakua kama Mungu. Mwanamke Akala tuna walikokatazwa na Mungu. Kisha akampa na Adam naye Akala . Unajua Kwa nini Hawa alikula tunda na je,unadhani Adamu angempa Hawa lile tunda angekula ? Shetani alikua na akili sana ...
  5. 1000 digits

    Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Mwanamke kuletewa Kila kitu na mumewe ni jambo la Kibiblia na Katika mfumo wa Kiislamu lakini katika mfumo wa Kizungu au upagani wa Kirumi mwanamke na mwanaume wote ni SAWA . Upagani wa Kirumi Kwa sasa unatawala Karibu robo tatu ya Dunia nzima. Kwenye mazingira ya mifumo iliyotokana na upagani...
  6. 1000 digits

    Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kwa Hiyo wananchi wama wao wakae kimya wauawe na kuibiwa mali zao halali. Hapana Kwa kweli kama panya road akikamatwa ready handed ni halali kabisa kuuawa ili kuwamaliza. Binadamu ni kiumbe Bora akifuata Sheria na kutenda matendo mwema. BInadamu akiawa mhalifu ni mbaya kuliko mnyama wa porini...
  7. 1000 digits

    Tukubali kubadilika, Mifumo ya TEUZI ni chanzo cha Umasikini

    Sio Magufuli ni sera na katiba mbovu iliyokua imempa mamlaka makubwa pamoja na Chama chake Cha CCM kinachomfannya Rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa Chama tawala.
  8. 1000 digits

    Tukubali kubadilika, Mifumo ya TEUZI ni chanzo cha Umasikini

    N Ndio maana nasema nipeni hii nchi. Wafanyakazi wanateseka sana kwenye hii nchi inayongozwa na mafisadi wasio na maono Kwa vizazi vijavyo vya watanzania wote zaidi ya familia zao tuu. Shirila la Nyumba Lina Kazi gani Kwa watanzania zaidi ya kuwanufaisha wahindi. Tungekua na sera Bora Kila...
  9. 1000 digits

    Tukubali kubadilika, Mifumo ya TEUZI ni chanzo cha Umasikini

    Nipeni hii nchi. Miaka kumi inatosha kuweka mifumo Bora Kwa vizazi vyote. Watu wanapenda ajira za serikali na hata kwenye mashirika binafsi Kwa sababu ya Wizi na unyonyaji. Mifumo inayotoa fursa za kujiajiro ni lazima ianzie kwenye makazi Bora Kwa wananchi. Mtu anatumikia miaka mingi kwenye...
  10. 1000 digits

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Akili timamu zimesaidia nini Taifa hili maskini. Kwa sasa kama sio nguvu ya Majeshi na machawa wahuni Makonda ni zaidi ya CCM . CCM kama Chama kilicho asi misingi yake ya Ujamaa ,umoja ,mshikamano na kupiga vita rushwa na kutumia Elimu Kwa manufaa ya wote, hakika Bila nguvu ya Dola na katiba ya...
  11. 1000 digits

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Nchi hii ni kubwa . Yule haijui. Kifupi nchi imemshinda. Yule hii nchi ameiokota kwa bahati mbaya. Hakuna mpinzani anayemtaka rais Makini . Furaha ya wapinzani ni kuona Rais dhaifu . Lema apambane ili kuimarisha chama chale. Vita ndio inanukia mahariki ya kati . Matapeli waliopewa fursa na...
  12. 1000 digits

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    😂😂😂😂
  13. 1000 digits

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Hii nchi wazungu wameipata kirahisi sana . Walitumia akili sana kwenye Royo tua . Walitaka kuwa na uhakika wa rasilimali za asili zilizopo na ambazo ni Mali ya serikali . Wakagundua kuwa eneo kubwa sana la nchi hii na rasilimali zake zote ni kama Mali ya Rais na anaweza kufanya chochote bila...
  14. 1000 digits

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Sema Waarabu Wala usijifiche kwenye mgongo wa wazanzibari. Kwa Taarifa yako mabionea asilimia kubwa ya wale waliopo Tanganyika wanatokea huko huko Zanzibar. Sasa tutakuja huko na wamasai wote waliofukuzwa LOLIONDO na kupewa waarabu na kuoa waarabu na wazungu waitwe Moleli. Wazanzibar halisi...
  15. 1000 digits

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Waarabu rudini Oman kwa Waarabu wenzenu msituharibie Africa yetu.
  16. 1000 digits

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Usojidanganye tutaibiwa mara kumi zaidi. Ili mgeni asikuibie ni lazina akutane na wazawa wazalendo wanaoipenda nchi Yao na kumshughulikia mwizi bila kujali rangi zao. Hivi kama Mkuu wa nchi anashindwa kumfukuza na kumfilisi mwizi aliyemteua akiwa maskini ataweza kumshugulikia Bilioneo Toka...
  17. 1000 digits

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Bandari ikiwa chini ya Watanganyika wenzetu Umeme uliunganishwa Kwa Tsh. 27,000 na maji ilikua ni kununua rola la Bamba tu na kufungiwa maji kule vijijijini. Leo umeme na maji bei juu huki kila kitu kikiwa kimeuzwa wa rushwa ya kundi dogo kujineemsha kupitia udalali wa kuuza rasilimmali za...
  18. 1000 digits

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kama watanzania tutampa kura huyu muuzaji na chawa wake basi nchi hii ilikua ni Mali ya waarabu na sisi ni wavamizi. Ni haki kurejeshewa nchi Yao na mjukuu wa Sultani Yuko Sahihi. Wale watu hawajawahi kuwapenda watanganyika kamwe. Hata iweje lakini waarabu watakuja kufukuzwa Tanganyika kama...
  19. 1000 digits

    ACT Wazalendo yamtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufika Rufiji haraka

    Ulimwangu hauna usawa. Yaani Maeneo ya kulima mazaoa kama Mpunga , miwa , mboga mboga na ufugaji yamegeuzwa kuwa makazi ya watu na maeneo yaliyopaswa kuwa makazi ya watu yanalimwa Kilimo Cha jembe la mkono na kusubiri mvua zisizotabirika zinyeshe ili wapate mazao. Nchi yetu miaka mia moja...
Back
Top Bottom