Mkuu Hayo Maujenzi ndiko watu wanapiga sana Mkuu?,sababu inawezekana kabisa Kujenga Toka Kibaha hadi Town, Au hata Chini ya Aedhi,
Nchi za Wenzetu hii ni Kitu ya Kawaida sana saba,Cheki Afrika Kusini kawaida sana,Cheki china tena Mji mdogo kama Chngdu Western Province Kuna Barbara Ya Juu Km 25...
Mkuu Kwani Kuwa certified ni Lazima Ufanye Mitihani au usome Kozi husika?
Fani kama Ugavi,Wahasibu wanafanya Mitihani,BT mbona Engineers hawafanyi Mitihani Kuwa Certified?
Wanaregistered tuu,baada ya miaka kadhaa ya Kazi kwenye fani hiyo anakuwa professional registered!
Provided tuu kasomea...
Mkuu Kuwa Mzalendo ipende Nchi yako,
Nami Nakuongezea swali Mkuu,
Kwanini wahasibu,Wagavi ili wawe Certified wanafanya Mitihani,kwanini wahandisi hawafanyi mitihani kuwe registered? Au wao kuna Special flani?
Niseme tuu kuwa HONGERA sana sana Rais Dr.John pombe Joseph Magufuli
Kwa Mradi huu,niseme machache...
Huu mradi ndio ALAMA kubwa utakayoiacha Vizazi na Vizazi,nikuambie tuu hakikisha Umepanga timu bora katika Mradi huo,Ikiwa pamoja na kupandikiza TISS tangu mwanzo wa Mradi ili kusitokee hujuma...
Kuna Sehemu hujaeleweka Vema aidha umejichanganya...
Hasa pale uliposema wale wanaotoka Barabara ya Goba kwenda Mbezi beach,sasa hapa inahusiana vipi na Barabara ya Morogoro?
Nilitegemea useme wale wanaotoka Barabara ya Goba kuja Mbezi Mbezi Mwisho Wapite wapi?
Kama MTU katoka Goba anataka...
Mkuu Mbona Mila za Kichagga ziko wazi Mkuu?
Huyo Jaque hana kitu,Baba Mdogo Benjamin ndo Amepewa Eneo hilo,Ndio Mila Inasema Hivyo,Kama Eneo Alipewa na Baba yake,Hivyo Mdogo wao wa Mwisho wa Kiume ndo Atarithi,Mkuu unaishi wapi hujui hii habari?
Japo Mimi Sio Mchagga ila Nathamimi sana mila kama...
Uko sahihi Mkuu
ila naomba nirekebishe sehemu moja tuuu
Sio wafanyakazi wa serikali tuu ndo watumwa tena hata Walioajiriwa binafsi,sekta binafsi.
nimefaya sekta binafsi miaka 9 yaani kila mwezi watu wanafurahi mwezi huu tunamuaga nani nastaafu huwa kuna ka sharehe ukumbini mtu anapostaafu,hivyo...
Wakuu habari,
Naomba Kuuliza:
Hivi kwanini Hospital nyingi kubwa kama TMJ,Rabininsia,Masana nk no nk
Huwa wanapenda Kupima malaria kwa Kutumia kipimo cha MRDT?
Kile kinachotoa majibu baada ya Dakika 5.
Wakati majibu Mengi huonyesha malaria Hakuna,Wakati unaumwa na Ukienda Kwenye Dispensary...
Hapo sawa sawa Mkuu nakuunga Mkono
wakubwa wanatumia fedha zetu ili tuendelee kuwa maskini sijui?
Fao la kujitoa ni muhimu sana sana,ukisema watakuambia Mifuko itafilisika,mara hakuna Nchi dunia ni inayofanya hivyo,yote hiyo ni kutaka kujenga hoja wabaki na hela wafanye miradi,kwani lazima...
Mkuu kwahiyo unataka kusema watu hata Mshahara wanaoupata hauwatoshi mpaka wanaukopea?
Unashauri nini Mkuu kwa hiyo comment yako? Au unataka kuhitimisha nini?kutokana na mada?
kuwa watu waendelee kuajiriwa au unataka kusema nini haswa Mkuu?
Uko sahihi sana sana Mkuu
huwa mimi najisemea hivi ukitaka kujipima fikiria je kama kesho ukiambiwa kazi baaasi unaweza kuishi si chini ya miezi 6 ukiwa unajipanga?kwa kipato ambacho sio tena cha mshahara? natamani jibu hili wanipe wana JF Wote Mkuu.
yaani kama mshahara umekata unaweza kuendelea...
Mkuu kama nimekuelewa una maanisha hivi:
1.watumishi hupandishwa madaraja kila mwaka
2.Watumishi hupanda madaraja kila baada ya miaka 3 kazini
3.Kwahiyo una maanisha wale ambao alifikia miaka 3 mwaka,2014 kurudi nyua ndio tuu wataajiriwa.
4.Ila wale waliotimizia miaka 3,au waliotakiwa kupanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.