Search results

  1. M

    Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

    ni wachache mno wataokua na busara kuwacha kiti
  2. M

    Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

    Nani aliekudanganya kama wazanzibari wananufaika na kivipi wananufaika
  3. M

    Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

    NI kweli ila ndio mana wazanzibari wanayoipenda nchi yao ya zanzibar tunataka huu Muungano kuwe na usawa maana kwa zanzibar hauleti tija hata uwepo wake kwa kweli
  4. M

    Ni wangapi walioomba Mamlaka za Tanzania kumuachia Mbowe bila Masharti kabla ya leo?

    Sasa ulitaka asemeje si ungekwenda wewe na useme ulichokua nacho
  5. M

    Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    In Sha Allah havitozama suala la Muungano sio tatizo hata leo uvunjike hakuna shida na ishu kua Islamic State ni ndoto kwa kila muislam kuwe na dola ya Kiislam Zanzibar itakuwepo na itazidi kuwepo In Sha Allah
  6. M

    Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    Hoja nzuri uliyoileta ni ukweli usiofichika kwa maana naweza kusema kua Wazanzibari wengi tunapenda kuitwa Mzanzibari na tena hujisikia faraja sana tukiitwa Mzanzibari kuliko mtanzania maana hata katika historia Zanzibar ilikuwepo mwanzo kuliko hiyo tanzania sio vibaya nawewe ukapenda na ukaona...
  7. M

    Wana CCM tuambieni Tanzania ilipata uhuru tarehe, mwezi na mwaka gani?

    kwa kweli jambo nalojiuliza kila siku hivi ni kweli tanzania ilipata uhuru? ama tanganyika ndio iliyopata uhuru jamani ukweli usemwe kua hakuna nchi duniani iliyopata uhuru inayoitwa wa tanzania au tanzania bara...kwani tukisema tanganyika ni dhambi?
  8. M

    Haki na Amani

    Tupo ukingoni mwa zoezi letu la kupiga kura kwa kuchagua viongozi wataoweza kutuvusha katika miaka mitano mengine Dhima ya kuingia kwenye uchaguzi ni wananchi kuchagua kiongozi wanaomfaa na kumchagua yupi ataeweza kuleta maendeleo. Suala la kuchagua kiongozi sio jambo la mtu kulazimishwa...
  9. M

    Serikali yashindwa tena kuwaleta Mahakamani watuhumiwa wa Ugaidi, yasema italihamisha shauri Mahakama Kuu

    Hakika haya yana mwisho wake Ipo Siku watakua Huru na waliohusika kuwanyima haki yao Mashehe wetu In Sha Allah malipo yataanza duniani kabla ya kesho Akhera Amin
  10. M

    Amani ya Nchi na Uchaguzi

    Habari Zenu wana Ukumbi, Baada ya salamu Napenda kuwasihi sana Watanzania wenzangu kuwa tunaelekea katika kipindi cha uchaguzi. Tujitokezeni kwa wingi ktk Kampeni na tudumishe amani mda wote na ikibidi kampeni zetu ziwe za kistaarabu. Matusi sio silaha ya kumuangusha mpinzani wako, ila sera...
  11. M

    Uchaguzi 2020 Dua ya kuombea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2020

    Wana ukumbi habari zenu, Ama baada ya salamu, nlikua nina Ombi kutoka kwenu kwa ajli ya nchi yetu. Ama kwa ombi lenyewe ni kuomba Dua kwa aliyetuumba, atujaalie uchaguzi wa safari hii uwe wa huru na wa haki tumuombe pia. Aliyetuumba kutupa Subra katika kila jambo na mwenye nia mbaya ya nchi...
  12. M

    IGP Sirro: Nitachukua hatua ndani ya siku tatu kutekwa kwa MO Dewji

    Kiswahili kigumu yawezekana kakusudia baada siku ya tatu mwaka unaokuja
  13. M

    Maalim Seif amekuwa akisaka Urais kwa miaka 35

    Sioni wala sio ajabu kwa miaka uliyotaja na hasa ukizingatia kua mara zote alizokua akishida alikua akinyimwa ushindi wake Ila kumbuka haki ya aliyedhulumiwa hurudi mikononi mwake kwa mda wowote na siku yoyote
  14. M

    Netanyahu Yuko Moscow Amemwambia Putin Israel Itaendelea Kuitandika Iran Nchini Syria

    Sawa na yeye asubirie bakora kutoka kwa Mungu
  15. M

    Lowassa atembelewa na Madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza

    Kama katembelewa sio vibaya maana wagonjwa wengi ni kawaida kutembelewa na yeye Mungu atamponya
  16. M

    Hali ya Jimbo la Singida Mashariki inatisha, 'they need rescue in 2020'

    Kwani ndio umeona ajabu si uende wewe kuwasaidia
Back
Top Bottom