Search results

  1. RWEYONGEZA MUTTA

    Je serikali tatu ni muafaka wa kulinda muungano!?

    Wanajf nakaribisha maoni yenu!! Yangu binafc coni km ni suluhu kwa maana jambo kubwa linaloyumbisha muungano huu ni swala zima la UGAWANAJI WA RASILIMALI YA TAIFA Sasa km serikaki mbili ilishndwa je hizi tatu itawezekana!? Jibu la haraka nililonalo ni kwmb rasilimali ya taifa itatumika vby coz...
  2. RWEYONGEZA MUTTA

    Katiba na maamuzi ya mahakama za kimataifa

    Habari wanajf!! Mimi nataka kufahamu kwamba kwakuwa katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ni sheria mama na ni zao la wananchi wa tanzania, na kwamba sheria za kimataifa ili zitambulikd nchini lazima zifate taratibu zilizowekwa na katiba hii!! Lakini je maamuzi ya mahakama za kimataifa...
  3. RWEYONGEZA MUTTA

    Ingekuwaje kwa yesu leo!!?

    Najiuliza kama wayahudi walimpakisago Christ kwa misumali msalabani ingekuwa leo unadhani nyenzo gani zingetumika na techno yote hii ya wanadamu kila kukicha tunavumbua vitu vikali vya kuuana cc kwa cc!!?
  4. RWEYONGEZA MUTTA

    Nauliza hivi

    Ingekuwa vipi uume wako ungekuwa penseli na uke wa mwanamke kichongeo! Ungekuwaje asahivi umechonga hadi imeisha au umebakia kifutio!!!!
  5. RWEYONGEZA MUTTA

    Utaamuaje

    Sometimes huwa nafikiria especially hay matukio yanao wakumba wanafunzi vyuoni hasa wa kiume kulawitiwa wanapokuwa wamevamiwa tena uvamizi wa silaha za moto. Swali linakuja wakitaka # 0713 utatoa au ufe lijulikane moja Me binafc nshasema bora tupigane waniue Swali jingine imekuja mijitu km saba...
  6. RWEYONGEZA MUTTA

    Wanawake sio ndugu zetu

    Sikumoja mwanaume karudi nyumbani saa chache baada ya kutoka home kuelekea kazini mata; Mwanamke: khe kulikoni baba Mwanaume: kumetokea ajali kazini Mwanamke: ajali gani mume wangu niambie Mwanaume: ofisi imeungua moto Mwanamke: imekuwaje ukapona Mwanaume: nilikuwa chooni nakamua haja kubwa...
  7. RWEYONGEZA MUTTA

    Tahira hana kisogo

    Jamani waajamvi kuna mtu kanambia kuwa matahira hawanaga visogo na kwa tathmini yangu nikikutana na matahira naproove hivyo jamani ninyi mnaonaje!?
  8. RWEYONGEZA MUTTA

    Sitosahau

    Wanajf hivi kuna mtu ambaye kunaswala hatokaa halisahau katika maisha yake tuyaweke hapa jamvini!!
  9. RWEYONGEZA MUTTA

    Yesu nijibu

    Kuna dogo mmoja kaulizwa na baba yake: Baba: hivi mwanangu hiyo mitihani utafaulu kweli!? Mtoto: ndio baba manake mitihani ilikuwa na jibu moja Baba: kwa vipi!? Mtoto: mlangoni waliandika YESU NI JIBU kwa hiyo majibu yangu yote ni hayo huoni ilivyorahisi!? Baba: akazira!!
  10. RWEYONGEZA MUTTA

    Nani msaliti!!?

    Mwanamke na mumewe wamelala usiku mara mwanamke katika ndoto yakr akaanza kupopoma " wewe fanya faster mumewangu anakuja fastaaaaa!!" Mwanaume kusikia hivyo akakurupuka kachukua nguo zake nduki chafu!!? Kufika nje mwanaume anagundua kuwa anakimbia nyumba yake na kamuacha wife ndaniNani msaliti...
  11. RWEYONGEZA MUTTA

    Je tunaweza kuichallenge sheria inayofanya marekebisho ya katiba? Kwa vipi?

    Jamani mimi swali langu na msaada ninaotaka toka kwenu ni je tunaweza kuchalenji sheria inayoregulate mabadiliko ya katiba na ni kwa namna gani naweza kuichalenji sheria inayofanya marekebisho ya katiba!!? Kimbunga hicho jamani!!!!!
Back
Top Bottom