Search results

  1. Mlyandigwa

    Niuzie king'amuzi cha Zuku used kwa 50,000/=

    mimi nauza cha DsTv.
  2. Mlyandigwa

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini, Amani Walid Kabourou akataliwa mbele ya Dr. Magufuli

    Katika mkutano wa mgombea urais Leo KIGOMA alishindwa kumnadi mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini baada ya wananchi kumkataa, pamoja na madiwani woote wa CCM, baada ya kuona hali ngumu kumnadi mbunge Magufuli ikabidi ajiombee kura yeye mwenyewe. Chanzo: Mimi mwenyewe toka uwanja wa Kawawa Kigoma
  3. Mlyandigwa

    Kigoma: Aibu! Lowassa apokewa na watoto Airport

    ilisemwa kuwa anakuja na Chopa so Mara nyingi huwa wanashukia uwanja wa Community center moja kwa moja ndiyo maana watu wote walijaa pale na Airport kukawa hakuna watu,
  4. Mlyandigwa

    UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

    ajuae Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salamaa..!
  5. Mlyandigwa

    CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    Kuna vyama vingine vingi tu kwanini act na hivyo vyama nao wasianzishe umoja wao?, au ni lazima ajiunge UKAWA tu?, ZZK alivoenda mtwara na Prof Lipumba alikuwa mwanachama Wa CDM kwa amri ya mahakama, na alikuwa anakana kuwa haitambui act kumbuka vizuri,
  6. Mlyandigwa

    Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Ni kweli kabisaa tukio lipo na mapigano yanaendelea
  7. Mlyandigwa

    Bajaji tvs king for sale

    nipo kgm nahitaji bajajii ila kwa hiyo bei hapana, tuma picha kwa whatsapp niione tuongee zaidi. 0767448823
  8. Mlyandigwa

    Basi la LEINA TOURS Kufika Kahama saa 12:00 Jioni kutokea DSM je ni halali?

    sio kweli kaa singida uone ni gari gani inakuwa ya kwanza huyo mghamba hafati kabisa mwendo wa LEINA.
  9. Mlyandigwa

    Basi la LEINA TOURS Kufika Kahama saa 12:00 Jioni kutokea DSM je ni halali?

    acha kabisaa kuna siku nilipanda leina tulifika singida saa 9 ikabid wapak sehem kuvuta muda hadi saa kumi ndo tukaingia stendi, kaham tulifa saa moja na 10 stend kabisa, ila jamaa wanatembea na wanajali muda.
  10. Mlyandigwa

    Naomba kujua namna ya kumuunganishia mtu DSTv

    cna uhakika ila nilishackia kuna device inaitwa sender ndo hutumika
  11. Mlyandigwa

    Siri zafichuka kung’oka mawaziri:Ripoti ya Lembeli yakosolewa;Dk. Nchimbi amwanika Pinda

    jangili kuua askari ruksa, lakini askari kuua jangili ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
  12. Mlyandigwa

    AG Vs Freeman Mbowe!

    raia waliokufa kumi na tatu, na askari au watendaji waliokufa kwenye operesheni wakipambana na majangiri sita, lakin cjamsikia hata mbunge mmoja akiwaongelea hao ina maana wao sio binadamu au ni haki yao kuuwawa?
  13. Mlyandigwa

    Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

    mtu anapokwenda kinyume kwann wasisemwe..?, hata hizi picha polisi hapo waliienda hotelini alikofikia dr slaa.
  14. Mlyandigwa

    Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

    cjaelewa hizi picha na kichwa cha habari mbona cnapishana, nyingi zimepigwa hotelini alipofikia na ndipo anasalimiana na polisi tayari kwenda kufanya mikutano, hizo zingine zimepigwa kwenye mikutano ya vijijini, huo ni mtupu.
  15. Mlyandigwa

    Kigoma Manyovu

    Kwa maelezo yako hakuna mtu wa manyovu anaefanana na mmasai au muirak, hao wa hivo asili yao ni watusi na asilimia kubwa wa huko wengi asili yenu burundi, mfan o ukienda SHUZA au mtaa wa LUBANGA kijiji cha MKABOGO, bro unabahati kimbunga hakijakupitia ila bado kipo jiandae.
  16. Mlyandigwa

    Marehemu Fahali alifariki dunia kufuatia majeraha makubwa kichwani

    na alaaaaniwe aliyetenda unyama huu, Mungu atalipa DAMU hii isiyo na hatiaa
  17. Mlyandigwa

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    ---- ww nipo andiko linalosema waislam wachinje katka biblia..?, tmepewa mamlaka ya kuvila kuvitawalaaaa
  18. Mlyandigwa

    Madiwani 3 wa CHADEMA watimuliwa Ilemela

    Hivi kama umekamatwa upo mahabusu utawezaje kuhudhuri kikao,
  19. Mlyandigwa

    Wabunge hawa wako hoi majimboni mwao, hawatashinda 2015 ... ongezea orodha

    Peter Selukamba kigoma mjini yaani huyu hata aibe vp safari lazma imkumbe.
Back
Top Bottom