Mimi binafsi nasikitika kukosa hii nafas ya kupata visa ya huko.
shida ya Marekani waoga sana wanahisi kila mtu ni adui yao ndio Maana kwenye visa wanabagua sana
Mahakama ya Juu nchini Liberia imesimamisha mchakato wa uchaguzi nchini humo siku moja kabla ya kufanyika kwa duru ya pili. Duru ya pili ya uchaguzi wa urais ambao ungeuliwakutanisha nyota wa zamani wa soka George Weah akipeperusha bendera ya muungano wa CDC (Coalition for Democratic Change), na...
Majeshi ya Marekani na Korea Kusini yanafanya mazoezi makubwa ya pamoja katika bahari ilio kati ya Japan na rasi ya Korea. Mazoezi haya yalianza tangu mwishoni mwa juma lililopita. Mazoezi ambayo yanaendeshwa na vikosi vya wanaanga kutoka nchi hizi mbili.
Viongozi wa Korea Kaskazini wanasema...
Hii ndio Tazania nchi yenye mbwembwe nyingi.....maajabu ya watu wakale yote yanavunjwa record hapa...ila ukweli utabaki pale pale hakuna chama cha upinzani chenye nguvu zaidi ya kuipundua CCM. haya maneno niliongea nyuma kabla hata chadema haijaanza kulumbana...na malumbano ya Chadema ndio...
Naunga mkono hoja yako....anadanganya umma na historia yake ya uongo. Na amesema kuwa akishika kalamu yeye huandika jambo sahihi.
Sisi wenyekuijuwa historia ya zanzibar. Tunampinga. Nakama amelikibubali hili basi hata huo waraka wake ni wauongo mtupu. Akajipange upya
Naomba nijibu hii hoja ya kipengele kipi kimetumika kuwapiga wabunge wa chandem.
Pinda neno lake akiongea katika bunge nisheria na kama mnakumbuka vizuri alisema " mtu yeyote ambaye hataki kusikia na kifuata sheria basi apigwe tu maana tumechoka kulea watu wasio sikia"
So kwa mantiki hiyo...
Hiyo ndio ccm kwa nguvu hamtoweza kuitoa...ila kwa kutumia akili mtaweza, wapinzani undeni chama kimoja ili kuingoa ccm kinyume na hapo mtaishia kuburuzwa kila siku mimi yangu macho
East Africa Radio
HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limekanusha kumpiga risasi Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Sheikh Ponda Issa Ponda. Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro ACP Faustine Shilogile amesema polisi walikwenda kumkamata lakini kwa kusaidiwa na wafuasi wake aliwatoroka na...
East Africa Radio
HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limekanusha kumpiga risasi Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Sheikh Ponda Issa Ponda. Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro ACP Faustine Shilogile amesema polisi walikwenda kumkamata lakini kwa kusaidiwa na wafuasi wake aliwatoroka na...
Binafsi mimi ule waraka wa Mtikila ulinifungua macho na mengi sana kuhusu uhusiano wetu na Rwanda, ila JK namkubali yuko makini na kazi yake. maana utandawazi ushampa taarifa mapema sana na mpaka kufikia kufunguka yote haya maana yake teyari TZ tushajiandaa kwa lolote dhidi ya Rwanda. Mtikila...
Ulaya tu ndio ukimpiga mtu unashitakiwa. Hapa Africa tunaenda kipunda Punda mpaka tutafika...!!!
Mzungu ukimwambia nyamaza atanyamza. Mwafrika ukimwambia nyamaza anaimba. Huoni kunatofauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.