Search results

  1. W

    Taazia: Ninavyomkumbuka Dada Yangu Haki Hanya (Haki Kilomoni)

    Sh Mohamed MashaAllah, Mwenyeezi Mungu amekujaaliya kipaji cha uandishi, nami nimo katika kudondoa mawili matatu, Yalaiti wengi wetu tungelikuwa tunakusoma kwa ajili ya kuelimika basi hakika tungelifaidika mengi Ahsante
  2. W

    Abuu, Ishaka Marande na Yakub "Gowon" Mbamba

    Sh Mohamed Leo ninakuvulia kofia kwa kunikumbusha Dundee, kweli wasemavyo “wakati ni upepo” Jee nikuulize mtaa wa Ungoni unapajua? Najua sana kuwa unapajua lakini tuyawache kama yalivyo, sisi ni wadogo kwenu, Kweli usemayo watu hawaonani mpaka kwenye maziko, Mwenyeezi Mungu awasamehe wote...
  3. W

    Lamu na Zanzibar Zilivyofanana

    Sh Mohamed MashaAllah
  4. W

    Ramadhani in Dar es Salaam, Once Upon a Time

    Sh Mohamed Eid Mubarak Taqabal minna wa minkum Ahsante
  5. W

    Ramadhani ile haipo

    Sh Mohamed Sina la kusema isipokuwa Lahaula wala kuwwata illa billah Mwenyeezi atupe Khusnu lkhatima
  6. W

    Kumbukumbu ya Iftaar Nyumbani kwa Balozi Ramadhani Kitwana Dau Yanga Kids Walipofuturu Pamoja

    Sh Mohamed Leo umenikumbusha miaka yangu ya odogoni, timu yangu ilikuwa Pan Africa Umemtaja mtu ambae nilikuja kusikia karibuni tu kuwa amefariki nae ni Mohamed Yahya Tostao, Mwenyeezi Mungu amsamehe makosa yake Kweli usemayo hakika team ile ya Young kids haitotokea kwa miaka ya karibu Dr Dau...
  7. W

    Historia ya Mzee Mshume Kiyate na Julius Nyerere 1950s

    Sh Mohamed Shukurani nyingi zile juu yako, Ahsante
  8. W

    Mwanangu Mwanasiti Kijino Kama Chikichi

    Sh Mohamed, Shukurani kwa makala yako,
  9. W

    Hapo Zamani za Kale...

    Sh Mohamed, Ninakupa pongezi kwa makala zako, kama nilivyobainisha kuwa huna uchoyo katika uandishi wako, kwani humchoshi msomaji, uandishi ni sanaa Mwenyeezi Mungu akuzidishie elimu zaidi Shukurani
  10. W

    Kumbukumbu ya Mfungo wa Ramadhani: Futari Nyumbani kwa Mayor Kitwana Kondo Oyster Bay na Upanga

    Sh Mohamed, Ahsante kwa kutuletea kumbukumbu mjarab, Muda umepita Nina suali dogo lakini nategemea utalifafanua vizuri Umesema Mzee Kitwana Kondo alikuwa Mzaramu na Mswahili hasa Naomba utufafanulie Mswahili ni nani? Wengi wetu hatumjui nani Mswahili Shukurani Sh Mohamed
  11. W

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Moderator Tafadhali ufupishe au uufungie Mara moja huu mjadala kwani hauna faida kwa upande wowote ule, huu mjadala umekuwa wa kukashifiana na kutukanana, Ahsante
  12. W

    Mfungo wa Ramadhani na Sikukuu ya Eid mbali na nyumbani

    Sh Muhamed, Kwanza, nikupe hongera kwa kipaji ulichonacho Mwenyeezi Mungu akuzidishie Pili, nakupa hongera kwa kutokuwa mchoyo na kutokuchoka katika kuielimisha jamii Ninawafahamu waandishi wachache wenye uwezo wa kuandika na msomaji akahisi kama na yeye yumo kwenye khadithi inayokhadithiwa...
  13. W

    Qatar Airways route za Dar/KIA analeta mikangafu!

    Ukiingia kwenye website yao na uandike malalamiko yako ndio hakuna zaidi, ukipiga simu inakwenda Doha na huko hakuna msaada wowote, najua watu tunalalamika ukipiga simu ATC ( Air Tanzania )hakuna majibu lakini Qatar ndio wazembe kuliko ATC, ukifika Doha bora ukutane na wa Kenya wanaweza kukupa...
  14. W

    Qatar Airways route za Dar/KIA analeta mikangafu!

    Umepata bahati ya kupanda A350, usiombe kupanda Boeing 777 ya Qatar, viti ni vidogo kwa safari ndefu airport kubwa lakini huduma sio za kuridhisha, sitoipanda Tena Qatar Airways nipo tayari kuwapa Ethiopia pesa yangu kuliko Qatar, ukiwa na pass ya Tanzania ndio kabisa huthaminiwi, itakuwa...
  15. W

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Good Bad and Ugly
  16. W

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Hiyo Isuzu ilikuwa ikipiga ruti za Buguruni na Posta, na ilikuwa ikilala Ilala, long time Leo umenikumbusha, shukurani sana
  17. W

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Ninaomba msaada kwa anyejua, Find the values of alpha that maximize the curvature of e^(alpha*x) at x=0. Also find the radius and center of curvature natanguliza shukurani
  18. W

    Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Kwa muda mrefu sijachangia mada humu ukumbini lakini Leo nitachangia kidogo, Kwanini mwalimu unakubali hasira zikutawale zaidi ya maarifa, ikiwa wewe mwalimu umekwenda mafunzo ya ualimu na umeshindwa kutumia elimu uliyonayo kumsaidia mwanafunzi na badala yake unatumia hasira tayari unajenga...
  19. W

    Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

    mimi sio tabibu lakini nitakupa ushauri, usile aina ya chakula chochote kilichopikwa na mayai pamoja na yai lenyewe, jaribu kwa wiki moja uangalie kama muwasho utapungua na kama haukupungua basi jaribu usitumie maziwa pamoja na cakula kilichochanganywa maziwa, ikiwa hali haitobadilika jaribu...
  20. W

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    zitafika tano kwa hesabu za haraka
Back
Top Bottom