Search results

  1. T

    Msaada: Nimenunua photocopy machine lakini inatoa karatasi bila maandishi.

    po Poa Ndg. ngoja nifanye hivyo maana nilidhan ni kitu simple pengine naweza pata msaada humu.
  2. T

    Msaada: Nimenunua photocopy machine lakini inatoa karatasi bila maandishi.

    Wino nimefungua mkuu, pia nimejaribu kuingia youtube nione namna ya kuweka wino naona ni hivyohivyo nilivyoweka.
  3. T

    Msaada: Nimenunua photocopy machine lakini inatoa karatasi bila maandishi.

    Wakuu, naombeni msaada wenu wa kitaalamu. Nilinunua Photocopy Machine mpya Canon IR 2520, nimeweka Drum na Toner lakini kila nikijaribu kutoa copy inatoka Plain yaani bila maandishi. Naombeni msaada wenu tafadhari
  4. T

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Samahan Ndg. naomba kuuliza juu ya matumizi ya mbolea itokanayo na kinyesi cha popo
  5. T

    TEMBO WAMEKULA MPUNGA WETU LINI SERIKALI ITATULIPA FIDIA?

    Kuna watu humu ndani huwa wapenda kuchangia kila mada tena kwa dhihaka na kejeli. kama huna cha kuchangia juu ya mada husika ni bora kukaa kimya au kusoma mawazo ya wenzio. Jamaa kaleta mada ya muhimu mwingine anachangia bila ya kushirikisha ubongo. Umewahi kutafakari kwa nini ukame uliotekea...
  6. T

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Picha ninayo, lakini najaribu kuiweka hapa nashindwa. Alichosema Ng'wamapala ni sahihi
  7. T

    Ndugu yangu Zitto Kabwe, hasira zako kwa CHADEMA zisisababishe kutuvurugia nchi yetu TANZANIA.

    Mtu yoyote makini anapaswa kuwa makini na hoja yake pamoja na athari za hiyo hoja yake kwa jamii. Nikweli utafiti ulifanyika na kuonyesha hivo lakin wewe unatumia matokeo ya utafiti huo kwa lengo gani? Iposiku mtu atafanya utafiti juu ya mchango wa kila kabila au dini ktk pato la Taifa na...
  8. T

    Mwalimu Nyerere ametukanwaje hasa?

    Mh. Tundu Lisu ni miongoni mwa wabunge ninaowaheshimu sana tena sana. Japo sina chama cha siasa lakini nimekuwa nikikunwa na siasa za chadema. Lakini kwa hili kwakweli napenda kutofautiana na Mh. Lisu na chama cha chadema kwa kuendelea kukaa kimya kwa jambo kubwa kama hili na linalogusa hisia za...
  9. T

    Gazeti la 'Tazama' linamilikiwa na nani?

    Kwakweli magazeti mengi ya tz yanaboa. haimaanishi magazeti yote yaandike kuisifia Chadema au CCM au hata chama chochote au mtu fulani. Pia ni kweli hata nchi za wenzetu tunaodhani wameendelea magazeti yao unakuta yanamrengo fulani lakini huandika facts tupu na hata habari zao huwa ni za ukweli...
  10. T

    Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

    Ndg, nami nashangaa na kusikitika. imefikia hatua sisi watz. kwakila kitu kilichoko mbele yetu tunafikiri na kutafakari kwa kutumia dini zetu. Kwa nini tusijadili mada kwa maoni huru bila kuingiza imani zetu za dini? sipingi tofauti za mitizamo yetu juu ya jambo fulani kwani ndo uhai wa jamii...
  11. T

    Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

    Jamani tuwe wakweli, Serikali inapeleka ruzuku pale. Mi nilikuwa kule miezi kadhaa iliyopita nilisikitishwa sana na mambo yanayofanyika pale tofauti na ilivyokuwa mwanzo. Kuna Makumbusho ya Mwl. Julius K. Nyerere iliyochini ya Makumbusho ya Taifa. Makumbusho hiyo ndio iliyokuwa na dhamana ya...
  12. T

    Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

    Hata mimi nilishafika pale nikaambiwa kulipia Tsh.2000 tofauti na 1500 niliyoilipia katika Makumbusho. Makumbusho nilipewa risiti lakini Kaburini sikupewa. Nikauliza utaratibu huo umeanza lini nikaambiwa una mwaka mzima kwa vile nilikuwa nimepeleka wageni wangu ikanibidi nilipie kulikoni kurudi...
Back
Top Bottom