Search results

  1. M

    Kenya, Rwanda & Uganda: Mombasa meeting communique

    Wenzetu waleee... wanatuweka kando taratiiiiibu, ona mambo haya. His Excellency Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, H.E.Yoweri Kaguta Museveni, President of the Republic of Uganda, H.E. Paul Kagame, President of the Republic of Rwanda as well as Hon. Dr. Barnaba Marial...
  2. M

    Mikopo ya Benki ni yakuiogopa sana!Mama alala juu ya paa siku 5

    kwa kesi ya huyu mama, ukweli ni kwamba anapoteza muda wake na kujiaibisha tu. Hiyo nyumba iliisha uzwa tangu mwaka 2011, pia huyo anayesema kuwa ni mume wake wakati anaweka hiyo nyumba kama third party security alipeleka benki affidavit kuwa hajaoa. Kesi iliisha amriwa mahakama kuu kitambo...
  3. M

    Nauza volkswagen passat 2001 model

    I am working on that, will upload the photos before close of business today.
  4. M

    Nauza volkswagen passat 2001 model

    Nauza VOLKSWAGEN PASSAT 2001 MODEL. Gari lipo katika hali nzuri Comprehensive Insurance till November 2013. The car is available for test drive. Gari imeingia nchini March 2011, Namba zinaanza na BR.. Starting price- TSH 9.5 Million. Send me a private message if you are interested.
  5. M

    Madaktari wote waliogoma kufukuzwa kazi na utumishi!

    serikali si dhaifu tu, but also ruthless...I am sure wanaweza fukuza Doctors wote, maana hakuna jipya from them. They have nothing to offer on table than empty promises.
  6. M

    Elections 2010 Kafulila vipi jameni

    Wakuu nipeni taarifa za mpiganaji mzee wa facts Bwamdogo KAFULILA za huko Kigoma kusini. Tunamhitaji huyu dogo mjengoni.
  7. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    endeleeni kutuweka hewani
  8. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    naonqa hawa jamaa wanachelewa kuniletea password
  9. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    wazee....... nipeni link, niangalie hiyo game ya senegal
  10. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    jamani, lets stay positive. huu mpira bwana......... yote yanawezekana
  11. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    this isnt good kabisa
  12. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    Ndo maana hakuana mchezaji wa kimataifa (ni Local players)........ ila hao wote international players waliaanza kua local kwanza. Everything has a beginning, mfano KOLO TOURE ametoka Asec Mimosas kwenda Arsenal kwa Pound 500,000/=
  13. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    watanzania bwana, hii inadhihirisha, kuna watu wanapenda sana hii inchi iendelee kurubuniwa na kuibiwa mabilioni ya wananchi ili mradi wapate sababu ya kuongea siasa. ushindi wa stars is a true test kwa washabiki wa siasa ila wasioitakia mema nchi. TUBADILIKE JAMANI.......... leo ni kushangilia...
  14. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    More over, hii ni CV kwa wachezaji wetu.......... Nakumbuka Idrousou Kameni alipata nafasi ya kucheza ulaya kwa kuondoa michomo na penati za wa-argentina katika mashindo ya olimpiki mwaka 2000. that wa an age category competition too. So viva mrisho Ngasa
  15. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    Nashkuru Curious kwa kunikumbusha hilo, ila still it will count kwa wachezaji wetu.. Nadhani any sensible agent atavutiwa na chochote kilichofanywa na wachezaji wa stars kuwafunga Ivory Coast (mwenyeji). Still it makes a difference.
  16. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    bwana wewe, kwani sisi tulicheza angani, tumewafunga kwenye nyasi zao regardless wamewachezesha akina nani. Tena kwa kukumbusha, kocha wa Ivory coast alikuja Kutuangalia katika chalenji pale uganda na kutuponda kwa kutumia kocha mgeni na haoni mpira wenyewe tunaocheza. akasema anatusubiri...
  17. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    ushindi wa Starz ni fungulia mbwa kwa watoto wa geti kali.......... kama nawaona vile jinsi ukimwi unavyosambaa huko jijini Dalisalama na vitongoji vyake.
  18. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    hao wazambia wanatuhofia sisi, hata tulipokua kule uganda kwa ajili ya kombe la chalenji. kocha wao alikua akiiongelea Tanzania kama timu yenye kucheza kwa nidhamu na akili sana. Hivyo nao wapo cautious kidogo............ Hawa tutawaweza tu, wana beki mbovu ila foward zao zipo very sharp.
  19. M

    CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    wana JF, kama kumbu kumbu zangu zipo saya. Nadhani huu utakua ndiyo first major Win in continental tournaments... Mwaka 80 kule Nigeria tuliambulia sare na vipigo tu. its history.........
Back
Top Bottom