Siku hizi humu hakuna stiki kama zamani na pia tumepata plastic fans
huko nyuma kulikuwa na fimbo za kutosha
kuna watu walikuwa na wachezaji tena U20 (teixeira) na walikuwa wanapendwa balaaa ndo maana Malafyale anaonekana mkorofi ila wale watu wagumu wa kipindi kile ni wapenzi wasomaji.
Ni...
za kariakoo siyo OG kama unataka OG nunua za vilabu vyetu vya ndani utawasidia kuingiza mapato.
Jezi Og za liverpool andaa zaidi ya laki mbili kwa moja
Mane and Salah can thrive in any team when we bought salah he had stellar performance at Roma one of their best performer of that season
Mane at Soton missed few end-product touches he showed glimpses of being world class attacker.
Coutinho would have been a beast after leaving us and...
Mkuu kwenye issue ya Striker tu sahau kwa sasa hawa front three wetu We are equally cursed and blessed sidhani kama kuna top striker atakaekubali kubali kuja na anajua kabisa kuwatoa ni mzk ataishia kuwa bench warmer hapa nadhani ni kuwa na mido iliyofit au kuwa na attacking mido
Ni siku nyingi sijaandika chochote humu na majukumu yanazidi kuwa mengi uzee ushapiga hodi hahahhahaaahha.
Kwa sasa tuna kikosi kizuri ila kidogo rotation inakuwa ndogo nadhani hivyo ndo Klopp alivyo hata alipokuwa dortmund kikosi chake kilikuwa kina tabirika na akiumia mmoja tu habari...
Moja ya complete typical number nine we ever had in modern football second to Suarez wa liverpool.
Striker ambaye aliwafanya Vidic na Rio kama watoto wake.
thanks for the memory that performance vs Madrid anfield 4-0, old traford 3-1 na kile kipigo kilicho mfukuzisha Scolari pale darajani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.