Search results

  1. D

    Walimu waingiliwa kimwili usiku huko Kibondo, Kigoma

    Unataka Picha ya Kitu gani Kiongozi?
  2. D

    Walimu waingiliwa kimwili usiku huko Kibondo, Kigoma

    Waalimu wa kike wawili wamejikuta wakiingiliwa kimwili usiku na watu wasiojulikana huku waume zao wakijikuta wamelala chini. Tukio hili linalohusishwa na imani za kishirikina limetokea miaka miwili baada ya matukio kama hayo kutokea na kisha kukemewa vikali na wana kijiji na kisha kupungua...
  3. D

    UDOM wanafunzi wageuka mtaji

    Join Date : 6th March 2014 Posts : 4,595 Rep Power : 172062347 Likes Received1819 Likes Given5600 Tanzania hatuwezi kuendelea kwa staili hii, halafu unakuta mtu analalamika ati kazi hakuna na anataka aajiriwe. Atakaeajiri mtu kama huyu kapata...
  4. D

    UDOM wanafunzi wageuka mtaji

    Ha ha ha ha, pole zako
  5. D

    UDOM wanafunzi wageuka mtaji

    Ha ha ha ha, duh JF imeingiliwa now. Ha ha ha, Kalale usiku ufanye kazi bint, maana naona unaendelea ku expose your serious problems.
  6. D

    UDOM wanafunzi wageuka mtaji

    Ha ha ha ha, kama nakuona vile ulivyojimanua hapo, huku unaandika kwenye kasimu kako ulikopewa baada ya kupigwa nanii, ha ha ha. Mwanamke gani mwenye akili ataamkia kwenye mitandao ya kijamii na kubishania ujinga. Nyie ndo wanawake mizigo nyie, hivi wewe ukiwa na watoto utakuwa na muda wa...
  7. D

    UDOM wanafunzi wageuka mtaji

    Mbele wanakuwa na Text books, ni lazima ununue. Na kwakuwa unakuta unachanganyika na wazung, wenzetu kusoma sio vita, wanapenda kusoma vitabu, mwanafunzi kabla hajaingia mwaka wa mbele yake anakuwa ameshajua ni vitabu gani vitahitajika na pendine anakuwa ameshanunua in advance. Sasa mwanafunzi...
  8. D

    UDOM wanafunzi wageuka mtaji

    Kama nnakuona vile unavyotoka povu kwa issue ndogo kama hii, leo jumapili dada nenda kafanye usafi kidogo achakukaa na kubishania ujinga kwenye mitandao ya kijamii. Wanaume zenu wakiwapiga chini, mnaanza kulialia na kutoa vilaana visivyokuwa na msingi. Nenda kafue nguo, kama ulishafua, basi...
  9. D

    UDOM wanafunzi wageuka mtaji

    Wewe ndo mburula kabisa, unalalamika kuuziwa kitabu ilhali upo chuo? Hujui hapo ni pahala pa kupaia maarifa na maarifa yamo kwenye kitabu? Au ulitaka upewe buuree? Hata vitabu vya dini vinauzwa sembuse vitabu vya elim dunia???Swine..
  10. D

    Suzuki escudo 3 doors in an excellent condition for sale!!!!

    Suzuki Escudo, 4WD,Manual transmission, 3 doors,Year of Manufacture 1997,Registered in TZ in 2005, Engine Capacity 1590, blue in color in an excellent condition is on Sale. The car has been under the use of a lady. The price is 6.5 M.The car is in Dar-es-salaam.If you are interested inbox me for...
Back
Top Bottom