Search results

  1. Kakamie

    Tumeichoka TCRA, ni geresha tu hatuitaki

    Utangazaji uko katika mifumo minne: 1. Satelitte Free to Air na Satelite kwa Subscription. A: Free to air unanunua na kufunga dish lako na unapata channel zote za bure zilizoko kwenye satelaiti, ili mradi vituo husika viko hewani bure. B: Satellite by Subscription (Huduma za Malipo) ambapo...
  2. Kakamie

    Nakusudia kuwashitaki Airtel

    http://www.tcra.go.tz/index.php/complaints
  3. Kakamie

    Tasnifu za njano5: Harakati za Lowassa na kiu ya rais Mzanzibar

    Majadiliano mazuri bila matusi! Safi sana! Hoja za hali ya juu!
  4. Kakamie

    Fizikia ya ajali (The Physics of Accidents): Mabasi yetu yanaundwa au kuunganishwa wapi?

    Kwani Wanasheria wana matatizo gani ? Mi nadhani ukitaka kuchambua fani zote, kwa hapa kwetu, hakuna isiyokuwa na matatizo...... 1. wahasibu....hao ndio wameikausha nchi kwa wizi...... ndio wanaiba fedha za miradi na kurekebisha balansi sheets za Halmashauri zetu...maendeleo hakuna; 2...
  5. Kakamie

    Wanafunzi 8 wa chuo jinsia tofauti wakutwa guest chumba kimoja

    Hamna sheria yoyote inayokataza watu kulala idadi hiyo....anayoijua hiyo sheria atuambie hapa. Polisi tu njaa zao na ndio walioita waandishi wa habari. mambo ya kukomoana tu hayo hamna issue wala nini.
  6. Kakamie

    Ushauri tafadhali nataka kulinda ndoa, kazi kikwazo kikubwa

    Hujajibu swali la msingi iwapo mwenzako anaichukuliaje hali hii ?
  7. Kakamie

    Hassan Othman Hassanoo mikononi mwa polisi

    <br /> <br />acha ujinga wako tangu lini mamba wakawa nyara za serikali ?
  8. Kakamie

    AN OPEN LETTER to BAE Systems: Do not return radar money to Tz Government

    Jamaa wanachotaka pesa irudishwe serikalini waichakachue tena kama kawaida yao. Huu ujinga umevuka mipaka. Kama walikuwa serious mbona hawakuidai hiyo pesa ? Mbaya zaidi, hata hao waliohusika kuiba wapo, wengine ni wabunge wa hoiyo hiyo CCM...hiyo pesa bora ikajenge shule na zahanati...
  9. Kakamie

    Elections 2010 sheikh yahaya na shibuda

    Huyo kibabu fix tu hana lolote anasubiri kufa yeye..
  10. Kakamie

    Felician Barongo wa Mzumbe University

    Hii thread kama ni majungu...poa sababu haiko mkinga...haiuumizi kihivyo. Ila kama ni kweli...Mzee mzima atakuwa keshapata message...aache mchezo mchafu kwani la sivyo atajikuta pabaya.
  11. Kakamie

    Issa Michuzi na vekesheni

    Duh... Watanzania kwa kujadili issues ambazo si issues! Haya mi ngoja nitafute thread nyingine ya kuelimisha maan hapa ni mitusi na mawazo hasi tu...
  12. Kakamie

    Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

    Shukrani tunakupata...haya ndo mambo mazurri ya Forum
Back
Top Bottom