Utani ni reflection ya ulivyo!
Akili yako inakutuma VEO ni Village Exec Officer tu ehh?
Jamvi uliambiwa wanavijiji hawamo?Ingekua ivo basi M.Mwanakijiji asingekuwemo humu.
Tunahitaji sinema hizi?..Upya wa maisha??? nadhani zinaongeza machungu maana zinakwangua rasilimali zetu zaidi.
Kesi na mazagazaga si sinema..ina malipo yake ndugu yangu.
Hapo umesema vema kabisa. Inherent tendency ya "kurithishana" katika tawala za kiafrika.
Hatuachagi asili.Asili katika tawala na uongozi siyo malikitu zama hizi.
Uchifu ulishafutwa lakini bado twakumbatia kurithishina.Kibaya zaidi hao " watoto" wenyewe ni mijibaba na mijimama yenye watoto na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.