Search results

  1. O

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Wadau naomba ushauri wenu, nahitaji kununua kati ya IST toleo la 2005 au WISH ya 2007 ni ipi inafaa zaidi kwa TZ? Pia nataka ninunue kupitia tradecarview japo nipo Japan kwa miezi minne zaidi lkn sina uhakika na yard zao pia lugha ni tatizo wengi hawajui kiingreza. Naomba uzoefu wenu.
  2. O

    Kama Mnyika au mbunge yeyote mwingine anataka kuondoka CHADEMA mwacheni aondoke

    Kwa mtazamo wangu kama ungekuwa ni uzushi angeshajitokeza na kujibu lkn kuna usemi wa "silence means yes".
  3. O

    Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    Hiyo stream kipindi cha kwanza ilionesha vizuri sasa hivi imegoma kabisa.
  4. O

    UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

    Msaada wa live streaming jamani wengine tulipo ni issue kuona hiyo supersport. @Timu Real
  5. O

    YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

    Sio siri kazidisha sifa sasa utadhani Mcharoo tunaumizana roho jamaaaa.... Tutapoteza salamu toka kwa marafiki zetu akikuona unakuja tu anatafuta chochoro. Viongozi wao wanakuja na hoja nyepesi eti wamekosa ubingwa sababu Hajibu, Kiiza na Kessy wamehujumu timu nao wameridhika kabisa.
  6. O

    YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

    Wachezaji wengi wakiondoka yanga kwa nyodo uwa wanazimika jumla namkumbuka Said Suweid Scud aliifunga simba mechi zote mbili za ligi akaanza ufaza watu wakamkata na umaarufu ukaishia hapo.
  7. O

    YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

    Tatizo la yanga mara zote wanapocheza na azam wanaanza vizuri lakini wakishapata goli wanaanza kujihami kujiangusha na kupoteza muda mpaka goli linarudi ndio wanahaha kutafuta lingine wakati muda umeisha na kutengeneza droo ya kizembe. Mara zote tunapotoka sare na Azam uwa wanachomoa wao tena...
  8. O

    Hitimisho Ligi Kuu Tanzania Bara leo tar 22:05:2016!

    Coast wamevuna walichopanda mgogoro wao na Binslum umewatoa kwenye njia. Na uongozi wa chama cha soka Tanga unapaswa ujitathimini kama bado wana wana uhalali wa kuendelea kuwa viongozi haiwezekani mkoa unapoteza timu zote tatu ligi kuu kwa msimu mmoja kisha bao mnajiita viongozi.
  9. O

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Mkuu mimi naishi kwenye jimbo la huyo waziri najibu tu swali lako la kama ni kweli anatabia za ulevi. Jibu ni NDIO alipoteuliwa alifanya ziara ya kushukuru wapiga kura akiwa na msafala mkubwa wa watendaji karibu wote wa wilaya lakini yeye alikua amelewa sana hata michango au maswali ya wananchi...
  10. O

    Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

    Hapa sasa nafsi imepoa mwaka mzuri huu bado mei 28 tu vijana wa Zizzu wakamilishe kazi iliyobaki.
  11. O

    Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

    wadau hii gemu haina free live streaming japo niambulie dkk zilizobaki?
  12. O

    Live Updates YANGA SC VS MTIBWA SUGER leo tr. 16/04/016

    Hii imekaa vizuri. Mfungaji nani?
  13. O

    Live Updates YANGA SC VS MTIBWA SUGER leo tr. 16/04/016

    Matokeo ya leo ni muhimu sana. Azam wanacheza lini?
  14. O

    Wachumi wamshukia Magufuli, watabiri pigo la kiuchumi

    Kukubali masharti maana yake ni kukabidhi nchi kwa aliyeshinda kweli kitu ambacho watawala hawapo tayari kuona kinatokea. Kila mchuma janga ula na wakwao tujipange tu kukabiliana na kitakachofuata hatuna cha kubadili muda huu.
  15. O

    Wanajeshi 8 wa JWTZ watiwa mbaroni wakituhumiwa kumuua raia waliyedai kawaibia simu yao

    Kuna kitu kinabidi kifanyike kupitia hawa askari ambao ushahidi wa kutosha upo kuonesha uvunjaji wa sheria na haki za binadamu kusikovumilika kwani wamefanya mtaani mbele za watu. Haki sio tu itendeke bali ionekane wazi ikitendeka kupitia hawa iwe funzo kwa askari wengine wanaodhani wapo juu ya...
  16. O

    Kuelekea mtanange wa Yanga na Azam

    Azam ni wepesi mno ila tatizo la Yanga ni kuridhika mapema, mechi nyingi wanatawala mchezo lakini wakipata goli moja tu kuongoza wanaanza kupoteza muda kwa kuamini wameshinda mpaka Azam wanasawazisha ndio wanashambulia tena wakati muda umeshaisha. Pia Msuva aambiwe ukweli tabia yake ya kutaka...
  17. O

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Wagombea ubunge mkoa wa Mara Nyangwine na Gaudencia Kabaka wamedaiwa kuanza faulo kwenye kura za maoni baada ya karatasi za kupigia kura zaidi ya elfu ishirini kukamatwa zikiwa zimeshapigwa tiki za kuwachagua. Wagombea wenzao wamegomea zoezi hivyo zoezi litafanyikaupya kesho. SOURCE: ITV...
  18. O

    Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    Mkuu sio kama tuna letu jambo au hatupendi polisi wafanye vizuri lakini wanapotoa maelezo yanayoacha mashaka mengi lazima tuhoji, kwa uzito wa lile tukio haliwezi kufanywa na watu wenye akili za kitoto eti wakachimbie chini pesa na kuweka alama ya kinyesi. Ingeleta uhalisia kama tungewaona hao...
Back
Top Bottom