Search results

  1. tchid vumba

    "KWA WALE WA MZUMBE( mbeya campus) JAMANI MSAADA,,,,,,,,,,,"

    ninaomba kuwauliza jamani hivi hostel za mzumbe mbeya campus zinajitosheleza kulingana na idadi ya wanafunzi waliochaguliwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kwa anayefahamu jamani ninaomba msaada,,,,,,,,,,,,,,,,,,
  2. tchid vumba

    Kwa wale tuliobahatika kupata mkopo...

    Jamani ndugu zangu mimi ninapata shida kweli kuelewa nimepata asilimia ngapi je,tunafanya vipi kufahamu mpangilio wa mkopo unaoupata nisaidieni wapendwa,,,,,,,,,,,,,,
  3. tchid vumba

    Kufika kileleni haraka kupita maelezo

    Jipange usiwe na kimuye muye mapigo yako ya moyo yawe normal yakiwa kasi zaid na kama maandalizi ziro basi kinachofuata nifedhea mapema,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Back
Top Bottom