Search results

  1. S

    Kingamuzi cha itv/star tv

    Ninaungana na mwenzangu aliye tangulia kwani kuna makampuni zaidi ya manne yasambazayo hivi ving'amuzi na huwezi kuona local stations za kitanzania ktk king'amuzi cha kampuni moja inakubidi ununue ving'amuzi vitatu kutokana na hali hii no budi serikali kupitia Tume ya mawasiliano Tanzania...
  2. S

    Expire Date!!!!

    Jamaa alikuwa ameshika document anazisoma akiwa na mkewe kitandani mara akaanza kucheka sana!!!!!!!! mke akaamua kumuuliza mbona una cheka sana nini kimekufurahisha jamaa akamjibu nimefurahishwa kuona expire date ya ndoa yetu ni kesho saa tatu asubuhi.
  3. S

    Mwalimu wa geography na wananfunzi

    Mwalimu alikuwa anafundisha somo la Geography bahati mbaya chaki ikadondoka chini hivyo akaona ainame na kuiokota mara akajamba kwa kuona aibu kwa wanafunzi akatoka darasani na kurudi nyumbani ambako aliamua kuchukua likizo ya siku saba ili wanafunzi waweze sahau tukio lilitokea. Mara baada ya...
  4. S

    ninauza tractor kwa bei niliyo iweka hapo chini

    nimekusoma lkn mbona hujaainisha specification zake?
  5. S

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    ahahah!!!!!!!!!!!!!! best unafurahisha sana.
  6. S

    Said Ally Mwema,,IGP, angalia askari wako huyu

    Mtoa hoja nakusifu kwa kuwa makini na kufuatilia na kuhakikisha kuona askari wanakuwepo ktk mikusanyiko kama hii ya with il I kuhakikisha ulinzi na usalama na Amani unakuwepo,ni matumaini Yangu huyo askari alikuwa anatekeleza wajibu wake ipasavyo kama ulivyoosha kwenye picha yako lakini kama...
  7. S

    Nani Msaliti?

    Kuna mume na mke walikuwa wamelala pamoja usingizi mara mkewe akashtuka usingizini na kusema mume huyo anagonga mlangoni, mume kusikia hivyo akakurupuka na kuruka kupitia dirishani na kutokomea. wadau nawauliza yupi msaliti kati yao?
Back
Top Bottom