Search results

  1. R

    Diallo amlipua Lowassa

    Diallo mlia njaa tu kanafiki ka siku zote. maovu yake tumeweka ubavuni et leo anatumiwa na kambi ya mtu fulani kumchafua lowasa! hiyo star tv na redio zake zimetokea wapi! AFANYE BIASHARA, SIASA IMEMPITA NYUMA
  2. R

    Diallo amlipua Lowassa

    DIALLO IS DEAD AND GONE DEAD AND GONE...... kaibukia wapi tena? hapa naona kuna kitu kinaendelea ndani ya chama chetu, kambi mbili zinatolea kashfa ili kuangusha wagombea watarajiwa. Utumbo alioongea Dialo et Lowassa akazunguke uwanja wa taifa mara moja, mara atafia jukwaani, kama yalitoka...
  3. R

    Mwanafunzi aamua kujinyonga kwa kukosa huduma hospitalini

    Yan vijana wa siku hizi wana mawazo ya kipumbavu na fikra potofu. Mim nimesoma shule za bukoba mjini, kipind fulan mwanafunzi kafia shule Ihungo hapo hapo, siku mbili wanafunz kwenye maandamano na mgomo. Kila swala lilikuwa implemented kwa mgomo tu hata la kijinga. Leo hii, kichwan mwa huyo...
  4. R

    Risasi na uporaji muda huu hapa Ukonga

    Ila lazima hata mie niamnin kuna mkono wa wanandani katka matukio ya jana na leo. Hawa majambawaz nani anawajulisha kuwa boss flan anachukua fedha sehem.?? maana hawajawah kuvamia UDA waibe smartphone za abiria, ni boss kuibiwa mamilion. Pia jaman, polis tunawalaum bure, ilishatangazwa ukiwa...
  5. R

    East african universities' competitions

    Mnakaribishwa nyote hapa chuoni university of DAR ES SALAAM (MLIMANI) kushuhudia mashindano ya michezo mbalimbali kwa vyuo vya Afrika Mashariki. Takriban vyuo 38 vitawashiriki na mashindano yataanza leo tar 08/02 hadi tar12/02/2013. Njooni tujenge UMOJA na MSHIKAMANO, tudumishe URAFIKI kati ya...
  6. R

    Well be with me plz

    Hellow members of this site,am new 2 this place,Am asking 4 ur company plz:israel:
Back
Top Bottom