Search results

  1. Lait noir

    Mungu kwa nini alimchukua Mke wangu?

    Mke wangu alifariki kama mwaka na nusu hivi umepita, alifariki kifo kibaya sana maana aliniachia mtoto mchanga wa wiki tatu. Baada ya kuhuzunika sana sikuwa na jinsi, nikamuomba Sister wangu ahamie kwangu ili maisha ya pale home yasisimame maana nina mtoto mwingine mkubwa kidogo. Yule mdogo...
  2. Lait noir

    Matured Lady

    Nawasalimu Wapendwa wanajamii, Mimi ni mkaka/Mbaba wa miaka 38 na ushehe, mrefu kiasi na maji ya kunde. Nina maisha yangu na si tegemezi. Ninahitaji mama/dada aliepevuka kwa akili anaejua maisha maana yake nini na 'Muogopa Mungu', Kabila na ukoo sio ishu sana kwa sasa. Elimu ninajua itakuwa...
Back
Top Bottom