Search results

  1. G

    Tangazo toka Loan Board (HESLB)

    dah lini wanatoa hiyo mikopo mwenye fununu zozote by zacharia raphael
  2. G

    Weka order ya laptop, blackberry, samsung galaxy s1,s2 au s3, ipad

    Uchawi umetoka wapi mkuu?? hahaha, ukweli unauma siku zote!!! Habari ndo hiyo
  3. G

    Natafuta chumba cha kupanga mwenge

    Wakuu, natafuta chumba cha kupanga maeneo ya mwenge near tumaini university.... Kama kipo weka contacts zako tuwasiliane
  4. G

    Weka order ya laptop, blackberry, samsung galaxy s1,s2 au s3, ipad

    Hahahaha, is tht wat u call cheap???? Groups za deals fbook watu wanauza 500-600 ..thot utakua unauza afadhali kumbe afadhali ninunue uko uko....aksante sitaki tena, kamata wengine sio wote mafala
  5. G

    Weka order ya laptop, blackberry, samsung galaxy s1,s2 au s3, ipad

    Pm me bei ya bb torch 2 9810 na bold 9900, fair price plz ili ukija,nichukue fasta mojawapo
  6. G

    Architecture vs Civil engineering

    Nimekuelewa mkuu ..asante ,
  7. G

    Architecture vs Civil engineering

    Asante sana mkuu kwa ushauri wako...
  8. G

    Architecture vs Civil engineering

    Grade C kwa makadirio ya juu niliyoweka lakini tuition fee sio tatizo , kikubwa ni kupata mkopo wa matumizi ya malazi
  9. G

    Architecture vs Civil engineering

    Yes mkuu im capable..an eye for beauty?? Ofcoz was born with tht, bila shaka uko upande wa architecture
  10. G

    Architecture vs Civil engineering

    Kujiajiri ndio lengo kuu ila sio vibaya ukinishauri katika suala la kuajiriwa kwa hizi kazi
  11. G

    Architecture vs Civil engineering

    Wakuu ipi kati ya hizo iko juu zaidi na ni kwa sababu zipi kwa soko la hapa kwetu Tanzania??? Nawasilisha ..!!
  12. G

    Nahitaji laptop mpya ya kununua

    Natafuta Dell insipron n5040 HDD 500 4gbram Processor interl core i 3 2.52GHz or above!! iwe mpya au kama unafahamu wapi wanauza bei nzuri naomba unijuze..asante
  13. G

    Nina laki 7 ,nahitaji laptop nzuri #advice me plz

    Habari wakuu , naomba ushauri ni laptop ya aina gani na specs zipi itanifaa kwani napenda sana surfing, watchin movies na kucheza video games!!! Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom